Ndio kuchunguzana kwenyewe anatest uvumilivu wako na reaction unapoombwa hela ili aone kama utamfaa kwa miaka mingi ya ndoa au la.
ngoja aje miss chagga na cute b wakupe mbinu mbadala mkuu
Salam wadau!
Mimi ni kijana wa miaka 27. Kuna mdada nimemtongoza na katika majadiliano naye akadai tupeane mda wa kuchunguzana ndipo tufikie maamuzi. Lakini cha ajabu ndani ya siku mbili tangu nimemtongoza, ameanza kuniomba pesa kwa wingi. Nami najiuliza, kwa hali hiyo ya kuniombaomba pesa mara kwa mara ananichuna au anahitaji pesa zangu??
Nahitaji msaada Wakuu maana sielewi hata nifanyeje mpaka mda huu.
Wanataka wapewe wao.....hivi wanaume wa siku hizi mmekuaje....?.....kwa nini hamtaki kutoa hela......?.........ua bila kumwagiliwa mnadhani litapendezaje......?......
Kwakweli inabidi waunde umoja maana wametuchosha kila siku lawama hizi hizi, wanaume na nyie mmezidi ubahiri khaaaah!! Kwani mkitoa mnakufa?
Wanataka wapewe wao.....hivi wanaume wa siku hizi mmekuaje....?.....kwa nini hamtaki kutoa hela......?.........ua bila kumwagiliwa mnadhani litapendezaje......?......
Mie nashindwa hata kuwashangaa kwakweli!! Huu ubahiri gani sasa na kukalamika tuuuu kama gari bovu, mwanamke gharama jamani hebu toeni tu msisubiri hadi tuwaombe, khaaaaaah!!
Ndio unachunguzwa kama hauna mkono wa birika
Dogo hana kitu huyu. Bado ni wale wanaotaka vizuri bila kujua kuwa vinaundwa.
Hawa wajukuu wanahitaji darasa la kutosha. Huna sababu ya kimsindikiza mrembo lunch Serena kwa pesa za kupewa na bro ukaishia kunywa maji ya bomba kwenye glass. Warudi uswazi kwa kuku wa kienyeji hadi kieleweke. Vinginevyo watauza vyombo vya jiko mwa wazazi.
Je, nikikoswa pesa si ndo atanikimbia?
Na siku nikimnyima atakuwaje maana nitakuwa nimeshamzoesha kihivyo (Umleavyo ndivyo akuavyo)?
Asante babu
Heri umeliona hilo