Mwanamke wa dizaini hii anafaa kuolewa?

Mwanamke wa dizaini hii anafaa kuolewa?

Kama hakuna tafiti huna haki ya kusema, ni wapi imeandikwa kila kiungo cha mwanamke kina gharama? ina maana wanaume hawana viungo! wana nini basi chao? toa ushahidi wa kauli yako!

Kila kiungo cha mwanamke kina gharama, according to my research sijakurupuka, hivyo ni gharama zipi zinatofautiana kutoka kwa mmoja na mwingine sasa wewe kama unabisha sema why unabisha!!

Yaani sielewi hata nini unabisha na kukitaka ndugu, basi kama hutaki majukumu yako kama mwanaume chagua moja tu, olewa nawe uhudumiwe fullstop.
 
Research yake au yako asitake mtaji kwako ajipange mwenyewe
 
Kama kakupa papuchi hela isikuume kaka!Lkn kama anachukua tu hela aachii usukutue hapo shtuka kaka
 
Mie nashindwa hata kuwashangaa kwakweli!! Huu ubahiri gani sasa na kukalamika tuuuu kama gari bovu, mwanamke gharama jamani hebu toeni tu msisubiri hadi tuwaombe, khaaaaaah!!
Duh! Kumbe atoto ni binti? Weka namba yako nikutumie hela
 
Tatizo siyo kuombwa hela sema wadada wengi mnakosea timing ya kuomba wewe unatongozwa asubuhi kabla jua halijazama ushaanza kuomba hela tena wengine mnaombea njaa tu utaskia nirushie vocha mara sijala mchana mara nataka ninunue panado oh nyumbani hamna mboga, sijisikii kula ugali tembele nataka nile chips hayo yooote unakuta mtu katongozwa hana hata siku mbili badilikeni bana halafu ombeni vitu vya maana wakati muafaka.
 
Uchunguzi unaendelea mwanaume hovyo hugawa pesa hovyo hovyo so kuwa makini usimnyime kabisa ila kuwa na kiasi
 
Salam wadau!

Mimi ni kijana wa miaka 27. Kuna mdada nimemtongoza na katika majadiliano naye akadai tupeane mda wa kuchunguzana ndipo tufikie maamuzi.

Lakini cha ajabu ndani ya siku mbili tangu nimemtongoza, ameanza kuniomba pesa kwa wingi. Nami najiuliza, kwa hali hiyo ya kuniombaomba pesa mara kwa mara ananichuna au anahitaji pesa zangu??

Nahitaji msaada Wakuu maana sielewi hata nifanyeje mpaka mda huu.

Ha haaa na we mwambie mambo ya hela yasubiri jibu kwanza.......!
 
Salam wadau!

Mimi ni kijana wa miaka 27. Kuna mdada nimemtongoza na katika majadiliano naye akadai tupeane mda wa kuchunguzana ndipo tufikie maamuzi.

Lakini cha ajabu ndani ya siku mbili tangu nimemtongoza, ameanza kuniomba pesa kwa wingi. Nami najiuliza, kwa hali hiyo ya kuniombaomba pesa mara kwa mara ananichuna au anahitaji pesa zangu??

Nahitaji msaada Wakuu maana sielewi hata nifanyeje mpaka mda huu.

Nadhani hilo ungepaswa kujiuliza wewe na sio kutuuliza sio kutuuliza sisi. Jiulize je mwanamke anayependa pesa ananifaa kuwa mwenzi wangu wa maisha? Kama unaona hakufai usimpotezee mda, mweleze ukweli na umuache aende zake.

Kutuuliza sisi hilo swali ni kupoteza mda wako tu kwa sababu humu wengine watakujibu anafaa na wengine watakwambia hafai kutokana na vile mwanaume anavyopenda mwanamke awe na ndio maana hata waswahili wanasema "Wewe ukisema wa kazi gani, wenzako wanasema ntakipata lini."
 
Salam wadau!

Mimi ni kijana wa miaka 27. Kuna mdada nimemtongoza na katika majadiliano naye akadai tupeane mda wa kuchunguzana ndipo tufikie maamuzi.

Lakini cha ajabu ndani ya siku mbili tangu nimemtongoza, ameanza kuniomba pesa kwa wingi. Nami najiuliza, kwa hali hiyo ya kuniombaomba pesa mara kwa mara ananichuna au anahitaji pesa zangu??

Nahitaji msaada Wakuu maana sielewi hata nifanyeje mpaka mda huu.
 
Ni kipimo tosha cha kukupima kama unafaa kuwa mume material. Jipinde mkuu .
 
Salam wadau!

Mimi ni kijana wa miaka 27. Kuna mdada nimemtongoza na katika majadiliano naye akadai tupeane mda wa kuchunguzana ndipo tufikie maamuzi.

Lakini cha ajabu ndani ya siku mbili tangu nimemtongoza, ameanza kuniomba pesa kwa wingi. Nami najiuliza, kwa hali hiyo ya kuniombaomba pesa mara kwa mara ananichuna au anahitaji pesa zangu??

Nahitaji msaada Wakuu maana sielewi hata nifanyeje mpaka mda huu.
Mpe ukimnyima atasema bahili hautafaa kua mume
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom