Mnyime tu sianakuchunguza?Salam wadau!
Mimi ni kijana wa miaka 27. Kuna mdada nimemtongoza na katika majadiliano naye akadai tupeane mda wa kuchunguzana ndipo tufikie maamuzi. Lakini cha ajabu ndani ya siku mbili tangu nimemtongoza, ameanza kuniomba pesa kwa wingi. Nami najiuliza, kwa hali hiyo ya kuniombaomba pesa mara kwa mara ananichuna au anahitaji pesa zangu??
Nahitaji msaada Wakuu maana sielewi hata nifanyeje mpaka mda huu.
hiyo ni big G mkuu, tafuna ikiisha utamu temaSalam wadau!
Mimi ni kijana wa miaka 27. Kuna mdada nimemtongoza na katika majadiliano naye akadai tupeane mda wa kuchunguzana ndipo tufikie maamuzi. Lakini cha ajabu ndani ya siku mbili tangu nimemtongoza, ameanza kuniomba pesa kwa wingi. Nami najiuliza, kwa hali hiyo ya kuniombaomba pesa mara kwa mara ananichuna au anahitaji pesa zangu??
Nahitaji msaada Wakuu maana sielewi hata nifanyeje mpaka mda huu.
Mimi siwezi kumtimizia mahitaji yote.
Nipe nikupenawe muombe nyuchi tit for tat