Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,578
- 28,701
Ndio staili yake ya kuchunguzana hiyo, mvumilie tu
Hizi kesi zimekuwa nyingi sana. Kuna wenzio kibao humu utawaona tu. Undeni umoja wenu wa wapigwa mizinga/vibomu halafu mjue mtasonga vipi kwa pamoja.
Wanaume siku hizi.....
Dogo hana kitu huyu. Bado ni wale wanaotaka vizuri bila kujua kuwa vinaundwa.
Hawa wajukuu wanahitaji darasa la kutosha. Huna sababu ya kimsindikiza mrembo lunch Serena kwa pesa za kupewa na bro ukaishia kunywa maji ya bomba kwenye glass. Warudi uswazi kwa kuku wa kienyeji hadi kieleweke. Vinginevyo watauza vyombo vya jiko mwa wazazi.
Huyu ni demu wa ngapi katika maisha yako? Kuwa mkweli please!
Hasanteeeeee babu, yaani kila nikikuona humu nafurahiiiii, maana najua umekuja kunifundishia hawa wavulana.
Mhhhhhhhh,
Siyo vibaya lakini kuanzia Jtatu njema ya matemebezi ya kwenda NEC...
Mzima na umesalimika week end??
Babu DC!!!
Nimesalimika babu, bibi hajambo?
Bibi ni mzima kabisa. Nimwambie utakuja lini?
Au niwaachie mtatafutana wenyewe...?
safi sananawe muombe nyuchi tit for tat
Salam wadau!
Mimi ni kijana wa miaka 27. Kuna mdada nimemtongoza na katika majadiliano naye akadai tupeane mda wa kuchunguzana ndipo tufikie maamuzi. Lakini cha ajabu ndani ya siku mbili tangu nimemtongoza, ameanza kuniomba pesa kwa wingi. Nami najiuliza, kwa hali hiyo ya kuniombaomba pesa mara kwa mara ananichuna au anahitaji pesa zangu??
Nahitaji msaada Wakuu maana sielewi hata nifanyeje mpaka mda huu.
na nyie mkiombwa toeni fasta.............acheni roho mbaya, kitu yenyewe mepewe bure....toeni bure vilevilekwakweli inabidi waunde umoja maana wametuchosha kila siku lawama hizi hizi, wanaume na nyie mmezidi ubahiri khaaaah!! Kwani mkitoa mnakufa?
Salam wadau!
Mimi ni kijana wa miaka 27. Kuna mdada nimemtongoza na katika majadiliano naye akadai tupeane mda wa kuchunguzana ndipo tufikie maamuzi. Lakini cha ajabu ndani ya siku mbili tangu nimemtongoza, ameanza kuniomba pesa kwa wingi. Nami najiuliza, kwa hali hiyo ya kuniombaomba pesa mara kwa mara ananichuna au anahitaji pesa zangu??
Nahitaji msaada Wakuu maana sielewi hata nifanyeje mpaka mda huu.
na nyie mkiombwa toeni fasta.............acheni roho mbaya, kitu yenyewe mepewe bure....toeni bure vilevile
shikamoo atoto.......haya nitumie account namba yako iwe ya mkombozi lakini..............teh teh teh!! Utoaji wa hela na hicho kitu havihusiani kabisaaaa , we toa tu.
Kwakweli inabidi waunde umoja maana wametuchosha kila siku lawama hizi hizi, wanaume na nyie mmezidi ubahiri khaaaah!! Kwani mkitoa mnakufa?
Wanataka wapewe wao.....hivi wanaume wa siku hizi mmekuaje....?.....kwa nini hamtaki kutoa hela......?.........ua bila kumwagiliwa mnadhani litapendezaje......?......
Mie nashindwa hata kuwashangaa kwakweli!! Huu ubahiri gani sasa na kukalamika tuuuu kama gari bovu, mwanamke gharama jamani hebu toeni tu msisubiri hadi tuwaombe, khaaaaaah!!
Ndio unachunguzwa kama hauna mkono wa birika