Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Status
Not open for further replies.
Good to see you too dearest....Radhia hajakosea kabisa kuweka hii thread. Huoni tuko hapa,mi nina raha kama nini? jivunie ulicho nacho ila tu usikitumie kukwaza wenzio...!



I see you see what I see.... Radhia huyu naona ni free spirit....lol... We should be expecting a lot from her kwa mtindo huu....:biggrin:
 
Michelle you are one beautiful lady I hope you know that.... (ila huna haja ya kufungua thread)..

Hallow...

ADII,
This is what we mean by being appreciative.Keep it up!!

Hapo kwenye bold mwenye macho haambiwi tazama, wala mwenye masikio haambiwi sikia.

Kila mwanadamu ni kiumbe mzuri.Kwa maana hiyo basi Mwanamke yeyote ni mzuri.
Hamna mwenye haki ya kumponda mwingine kwamba siyo mzuri japo kila mtu anayo haki kujisifia kwamba ni mzuri.
Mwisho wa siku uzuri wa mtu ni maono wa muonaji.
Wachangiaji take it easy on the thread starter....don't be too hard on her its just a feeling on her part that she needs some attention to make her feel good.
Radhia uko mzuri sana dada.Na wanasemaga jifagilie mwenyewe usingoje kusifia maana unaweza subiri sana.
 
Which one? coz am engaged to him...or you meant your cousin?? lol




hahahahha.... Yule Lawyer reserved for the Special Lady Michelle.... (toka ameingia anga zako hata naji nitembelea sis wake.... Dah)


Yupo mwingine kabisa! Yeye huyo kichwa kimepinda... Uzuri wa Radhia waweza muweka katika mstari..... If you know what I mean...:eyebrows:
 
RADHIA SWEETY MTEGO WAKO UMESHANASA 'SAMAKI' (wa/MHUSIKA) uliyetaka jamii ya jf wamjue. Waombe mods wafunge huu mjadala, kesho anzisha uzi mwingine unase samaki wengine

Kwa niaba ya ndyoko na kwa niaba ya wana JF wote.......naomba huu mjadala ufungwe mara moja.....mashosti wote mliokereka kwa urembo wangu.......samahanini sana. Ni Mungu ndiyo alipenda niwe hivi.......
 
Now you are getting too far my sister! It was all enough (for you) to appreciate my beauty........



Oh' I am Back from far.... now here with you kabisa Radhia. Can we basi be friends? I would Love a Lady friend mzuri anajua kua ni mzuri alafu anajitambua....
 
Wifi nimepona uzuri niutoe wapi? Huoni naficha sura na ushungi?

Mimi nakupenda wewe na ashadii kwa sababu mnaficha sura. Hivi dena mtu akikupa chakura kilicho funikwa na chakura kilicho achwa wazi utakula chakura kipi? chakura cha heshima ni kile kilo funikwa. Mia
 
Najua kitawakera sana mashostito lakini kiufupi nimethubutu na nimeweza kutumia picha yangu halisi kama avatar yangu. Si kingine ila ni urembo wangu wa sura ulionifanya nijiweke hadharani kama nilivyo tofauti na vifidodido vinavyojipa majina makubwa lakini sura mbayaaaaa. Mwanamke kujiaminiiiiii.........
huwa mnakutana wapi na hivho vifidodido mpaka mnapondana jamani? mi najua jf wote tambarare tu!
 
Unasoda jirani?
Nimebakiza pop corn tu
Afu movie bado inaendelea
Nisije nikaboreka bure

Dah!!!

Chezea ID mpya wewe!!!
watu wanakuja wamejipanga kabisaa.......wanakuja kuleta ujumbe halafu haooooo......wanaondoka zao,
wanawaacha mnapigana vikumbo...

like that!!!
Wapi GX mia bana............kama sura zingekuwa na model kama magari, kuna watu wangesema wao ni future model ya Nissan 2013, wakati ni mandolini 109.

Orait, tunaendelea kuangalia mchapano........
 
Nikupe siri FL1? Shem alichaguiwa uraisi sababu ya Uzuri wako wewe... lol... Voters walikua hawana jinsi..


Leo twapata nini mchana? Njaa...:yawn:

yaani Ashadii kweli kizuri chajiuza kibaya chajitembeza ,si umeona mwenyewe,Radhia alivyo mrembo wa Jf
hapa leo twala ugali na mlenda kwa kurumangia na maziwa mgando karibu sana...
 
Yeah::: Mwanamke AKIWEZESHWA ANAWEZA!

avatar51048_1.gif
 
Unasoda jirani?
Nimebakiza pop corn tu
Afu movie bado inaendelea
Nisije nikaboreka bure
kamata kahawa usije ukasinzia.....
huu mnyukano ni mrefu sana huu....
unatumia sheria za zamani 1924...
ngumi mkononi mpaka oponent aanguke ashindwe kuamka!!, hakuna cha point wala nini!!!
 
ADII,
This is what we mean by being appreciative.Keep it up!!

Hapo kwenye bold mwenye macho haambiwi tazama, wala mwenye masikio haambiwi sikia.

Kila mwanadamu ni kiumbe mzuri.Kwa maana hiyo basi Mwanamke yeyote ni mzuri.
Hamna mwenye haki ya kumponda mwingine kwamba siyo mzuri japo kila mtu anayo haki kujisifia kwamba ni mzuri.
Mwisho wa siku uzuri wa mtu ni maono wa muonaji.
Wachangiaji take it easy on the thread starter....don't be too hard on her its just a feeling on her part that she needs some attention to make her feel good.
Radhia uko mzuri sana dada.Na wanasemaga jifagilie mwenyewe usingoje kusifia maana unaweza subiri sana.



Wos two days in a row of the first week of 2012 you have made me Grin as a result of your post and Presence jamvini.... This year ina dalili zooote kua it is one Great year.....lol... B2T

Your words are PERFECT! Kwanza ni wanawake wachache saana wana confidence ya kujitangaza kua ni mzuri (as much as tupo nyumba ya vivuli)... Hilo ni moja ya kitu imenifanya Radhia anifurahishe saana.... Such confidence na kujikubali regardless wajua wazi utapata Criticisms nyiiingi from the flow... Hio pekee yaonesha kua she is indeed one strong Lady. Thou mkorofi kuponda wenzie wabaya....lol
 
Oh' I am Back from far.... now here with you kabisa Radhia. Can we basi be friends? I would Love a Lady friend mzuri anajua kua ni mzuri alafu anajitambua....

urafiki gani dadangu AshaDii? Najua unataka unitafutie kakako anioe....lakini mbona mimi nina mchumba tayari........?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom