AMINATA 9
JF-Expert Member
- Aug 6, 2011
- 2,120
- 642
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa u made ma day smileana uzuri gani huyo amezeeka hadi anatoa mvuke
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa u made ma day smileana uzuri gani huyo amezeeka hadi anatoa mvuke
I know.... I know.... Love bana haifichiki bana... I can see it mkiwa pamoja.....lol... Radhia usiwe na wasi kanitolea nje hadi Urafiki!
Itabidi nianze kupanga strategies.... She has to be one of my Wifi!
hahaaaaaaaaaaaaaaaa smile jamaniweeee hana jeuri iyo.bacteria na fangasi mtupu
He! Nilipoiona hii thread asubuhi nilioona kuwa ni very innocent... sikujua kuwa itafika huku... kweli watu wameguswa
Radhia mwenzio ndiyo limoyo langu limeshakudondokeaga na ukinikubali nauza hekari zangu 200 za shamba la tumbaku huku tukale raha ughaibuni!Mtoto mtamu kama ugolo duh!Najua kitawakera sana mashostito lakini kiufupi nimethubutu na nimeweza kutumia picha yangu halisi kama avatar yangu. Si kingine ila ni urembo wangu wa sura ulionifanya nijiweke hadharani kama nilivyo tofauti na vifidodido vinavyojipa majina makubwa lakini sura mbayaaaaa. Mwanamke kujiaminiiiiii.........
loh......... aisee haya mama.Watu wamebabuliwa na diproson shemeji yangu.....lazima waguswe. Mtu uking'aa kidogo basi wanajua eti nimekuja kuwaibia. Kwani mi ndiyo niliwatuma wazaliwe vilema wa uso?
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa smile leo !!!!!!!! u made ma day again loh!hatuwezi kukudanganya ungekuwa mzuri tungekuambia mbona simple.wewe sio mzuri sasa tusemeje zaidi?
Si vibaya kujisifia uzuri wako, ila unautumia kufanya nini na kwa maslahi ya nani zaidi yako...kuna wadada wazuri tu tunawaona kila kukicha wakifanya kazi za jamii,kusaidia watu,kuwapa watu moyo,kuchangisha fedha kwa ajili ya watu wenye uhitaji,huo ndo uzuri ninaotamani wasichana wengi tujivunie. Huu wa sura uwe ufunguo wa matendo mema,na yenye utukufu kwa Mungu aliyekuumba na si wa kuangalia asiye mzuri kama wewe...!!
NB: Lizzy wewe ni msichana mwenye uwezo mkubwa wa kujadili hoja nzuri na muhimu sana kwa jamii. Kuona kwamba umetumia muda mrefu hapa kunanipa shida...i know the beauty n strength in you, lets remain focused!! mshukuru pia Mungu kukuumba mzuri na kukupa moyo wa kupenda watu,kuheshimu wote, na kupenda kuwa sehemu ya kufanya maisha ya wenye uhitaji bora zaidi. Its the beauty you should be more proud than anything!
Radhia, hongera sana,u mzuri na mwenye mvuto sana,ni kweli wala sikejeli. Uthamini uzuri wako na usiutumie ku-show off,manake hata mashangingi na malaya wengi ni wazuri zaidi hata ya wewe,asset yao ni uzuri wao lakini mbele za wanadamu si kitu. Its how you use the beauty in you that matter most.
Ngoja mie niwahi zangu NMC nikawakumbuke mashujaa waliokufa wakipigania haki... Gee ukinionea bht mwambie nimetangulia atanikuta nimekaa ule upande yaliko paki magari mabovu ya Tango... See you!Hey haters... You still at it?
Hello haters
bado najaribu kuunganisha dots.
Tukimpata huyu katika mawifi basi maisha yatakuwa safi sana, coz,una mawifi wa kila aina na utofauti wao ndo unafanya maisha interesting na yenye msisimko...lol:juggle:
Ngoja mie niwahi zangu NMC nikawakumbuke mashujaa waliokufa wakipigania haki... Gee ukinionea bht mwambie nimetangulia atanikuta nimekaa ule upande yaliko paki magari mabovu ya Tango... See you!
mkuu, huu ni mnyukano wa avatar........
mnyukano wa 'kuonana' ulikuwa juzi.........kama huna GX mia ya kuazima usim-PM AshaDii wala Lizzy!!
Thank you dearest.
Nwy, things like this aren't to be taken seriously na kupumzisha akili muhimu.