hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa smile duh!wasifie nini cheki vimikono kama fito? wallah mpenzi wako ana shida hana hata sehemu ya kushika,umekauka kau ukipita karibu na moto si unaanza kuwaka inabidi uwe unatembea na kaportable fire extinguisher kwa usalama wako
hahaaaaaaaaaaaaaaa khaaaa!Hii sura unayotamba nayo? Sura kama unamumunya ukwaju!
Chema chajiuza, kibaya chajitembeza
Haya tell me that 'smthing to with magari mabovu Gee...'lol! Nataka niwahi ki'ford kuelekea National Milling Corp!Salam zitafika....nitamwambia "something to do with magari mabovu, don't ask me what"
Haya tell me that 'smthing to with magari mabovu Gee...'lol! Nataka niwahi ki'ford kuelekea National Milling Corp!
Hahaha " don't ask me what" lol
Of coz we mzuri coz nakufahamu toka tukiwa chuo.......
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa khaaa! we smile weweNguruwe mzee anatafuta bucha achinjwe
watu hawali haramu huku wewe
We Mzuri bana! hebu wawekee na ile nyingine waone ili wakubali kua wewe mzuri!Usiniambie umesoma St John's University shosti!
heheheee kwani hiyo phrase ilinihusu? si ulikuwa unamwambia hater SL?
Haramu tamu we uliza wanaokula!!hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa khaaa! we smile wewe
umeonaeeeeee sio mzuka kabisa yaniHongera..
ila si fresh kusema "wenye sura mbaya" ..