sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,454
RS anauweza mdumange tu, hiyo labda amdediketie Husninyo.mdediketie RS hiyo korasi...
mi kiduku na segere ndo naweza
RS anauweza mdumange tu, hiyo labda amdediketie Husninyo.mdediketie RS hiyo korasi...
mi kiduku na segere ndo naweza
mkuu, huu ni mnyukano wa avatar........huwa mnakutana wapi na hivho vifidodido mpaka mnapondana jamani? mi najua jf wote tambarare tu!
yaani Ashadii kweli kizuri chajiuza kibaya chajitembeza ,si umeona mwenyewe,Radhia alivyo mrembo wa Jf
hapa leo twala ugali na mlenda kwa kurumangia na maziwa mgando karibu sana...
awezeshwe nini tena zaidi..kwenda saloon?
biashara matangazo babuuuuuuuuuu na wahisani lazima waweko au siobiashara matangazo
weka embe zako chumbani kama hazitakuozea.
He he he, ngoja nipige mbizi na PM mie kabla hawajaniwahi
Dena, fanya ziwe za chupa, Pakiti nimeacha siku hizi......Una valuer zako tano
hahahahha.... Yule Lawyer reserved for the Special Lady Michelle.... (toka ameingia anga zako hata naji nitembelea sis wake.... Dah)
Yupo mwingine kabisa! Yeye huyo kichwa kimepinda... Uzuri wa Radhia waweza muweka katika mstari..... If you know what I mean...:eyebrows:
unamaanisha ninunuliwe 'saloon( gari)' au ulikuwa unamaanisha nipelekwe 'salon'(with single o) sehemu ya nywele? Shemeji yangu sijakuelewa kabisa.
hakuna mwanaume aliyejitosa bado hadi sasa hivi/?
urafiki gani dadangu AshaDii? Najua unataka unitafutie kakako anioe....lakini mbona mimi nina mchumba tayari........?
mkuu, huu ni mnyukano wa avatar........
mnyukano wa 'kuonana' ulikuwa juzi.........kama huna GX mia ya kuazima usim-PM AshaDii wala Lizzy!!
Dena, fanya ziwe za chupa, Pakiti nimeacha siku hizi......
umepona?
hahaaaaaaaaaaaaa jamani loh! na mbona yy tu ndio imemuuma sana ivo..........wanawake bwana badala tusapotiane ndio tunaunguziana jamani............big up sana shost kwakuweka foto lako ......ila la ukweeeh!Una wivu kama umesusiwa mimba na mpiga debe
kumbe na wewe ni wa huku????Nywele za kitaliano+kigiriki+kichaga hizo babu. Yaani kuhusu nywele wala usithubutu kuongea.
Mgonjwa mstaafu umeshapata lunch?Ivuga elewesha shemeji fasta hajaelewa
Kwa niaba ya ndyoko na kwa niaba ya wana JF wote.......naomba huu mjadala ufungwe mara moja.....mashosti wote mliokereka kwa urembo wangu.......samahanini sana. Ni Mungu ndiyo alipenda niwe hivi.......
he he he manake ninavyompenda kaka yako na kujiamini kuwa ni mzuri napendwa kweli ningesikia ndo unampa Radhia mzuri mwenzangu ila mdogo mdogo tusingeelewana, hapo red,i know what you mean....na zaidi Radhia kama wakifikia ndoa basi watoto watakuwa wazuri sana,walionyooka nje na ndani...i second that..lol
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa atasonyajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!sidhani kama unaingia kwangu hata tukifanya 1/32
biashara matangazo babuuuuuuuuuu na wahisani lazima waweko au sio