Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Status
Not open for further replies.
Hehehe! Umeona eh! Ila muambie nataka nianze biashara ya Brazillian-Tz human hair. Ntatengeneza wigi la afro. Mwanamke nywele atii, sio kama za Mkapa (RIP retired president)
Bee kuja huku fasta umsome mke mwenza...lolz
 
Yaani niko bize na-connect dots
Zinataka kukubali
Ila sijiamini kusema
Sina uzuri huo
Ngoja nipotezee tu

Ila huyu aliyenisajili ataipata leo
Ngoja nikaendelee kumpikia mateka

Ntajulia wapi mie! Muulize aliekusajili, utajibeba!
 
Nazungumza kama mwanaume:
1. Radhia unaweza kuwa mnzuri......ila mtu sahihi anaejua we mnzuri au la ni mumeo/boyfriend wako.
2. Ni kweli unaweza kuwa mnzuri.....lakini pia inaweza ikawa kinyume na hapo....hasa ukichukulia picha yenyewe ni moja na umekaa upande.
3. ......hata hivyo ni vizuri sana unavyojiamini.....kujiamini peke yake ni hatua moja mbele.
4. Wakati mwingine thread hii inanichekesha......labda niwaulize nyie woooote mnaochangia mna uhakika gani huyo ni mwanamke na picha ni yake??? Sio anawachezea akili??
Samahani radhia na wengine kama nawakwaza......ila nimtazamo wangu tu.

point 1,2 na 3 ulikuwa unawaza nini paka umejisahau wakati unatembea kwenda point no 4 .read btn the line
 
Hii ni ligi ya haja hapa.....
Ila ninachokiona hapa kuna mtu alijeruhiwa kwenye raundi ya kwanza na avatar ya "bandia", sasa karudi kwa "orijino" kulipiza kisasi....
Anajua njia zote na wabaya wake wote hahahahaha..
Maana vinginevyo suala la image kwenye hii mitandao ya jamii ni ubunafsi wa pia utajuaje kama hii fake na hii real....
Kaatika ulimwengu huu wa photoshop kwakweli sinunui uzuri wa mtu kwenye picha tu za kwenye mitandao

wewe uliyejeruhiwa halafu ukaja na picha yako halisi naomba jina lako basi ili watu tufanye tathmini.
 
Basi utakuwa na elements za kikamerunikikanho.
May be..
By the way, huo mkono umeficha kitumbo fulani hivi.
Na miguu imeishia magotini tu, huo wa kulia kwanini umeukunja, ningependa kuona leg line yako kama ipo poa ila inaonyesha ni miembmba sana ndiyo maana umeficha kidizaini.
Other than that upo kawaida sana!!
Kla anayekusifia anataka PM..... think twice.
 
Careful beautiful lady, utapata ndita bure! Achana na ugly ladies wanajipa promo. Endelea kujichekea bana, bahati mbaya huku stoo nnafundisha mafaili sina kompyuta, sijaona avatar hadi sasa ila inanukia uzuri. Care to paste it here for me darling?
Toeni upuuzi wenu wacheza shoo wa Twanga nyiee
 
Ok, nimetumia microscope yangu hapa na nimekuona vizuri...daaah we ni mkali ila hujamfikia mke mwenzangu King'asti, huna unywele kama wake...tafuta japo lesi wigi.

hahahaaaaa hilo li wigi lake la afro silitaki
(mwee naogopa tushaambiwa tuondokee Twanga pepeta hivoo)
 
Bee kuja huku fasta umsome mke mwenza...lolz

nimemsoma na namsare tu...
hajui kipara fasheni huyu eeh!! heheheeeeeiyaa mi nlikuwa nazo ndefu ka za samson sema joto msimu huu ndo nikazipunyulia mbali.
nywele zangu hata za RS zilikuwa hazifui dafu
 
Nazungumza kama mwanaume:
1. Radhia unaweza kuwa mnzuri......ila mtu sahihi anaejua we mnzuri au la ni mumeo/boyfriend wako.
2. Ni kweli unaweza kuwa mnzuri.....lakini pia inaweza ikawa kinyume na hapo....hasa ukichukulia picha yenyewe ni moja na umekaa upande.
3. ......hata hivyo ni vizuri sana unavyojiamini.....kujiamini peke yake ni hatua moja mbele.
4. Wakati mwingine thread hii inanichekesha......labda niwaulize nyie woooote mnaochangia mna uhakika gani huyo ni mwanamke na picha ni yake??? Sio anawachezea akili??
Samahani radhia na wengine kama nawakwaza......ila nimtazamo wangu tu.

Ndo umeshituka saa hz? Huyu anatoa watu povu bure hamna kitu hapa bana
 
Twanga pepeta nnavyoipenda ntakunywa sumu juu yake!
Jirani, jirani yangu eeeh!
Nimekukosea nini!
Kila ninachokuomba jirani, mwenzangu wanikatalia!
hahahaaaaa hilo li wigi lake la afro silitaki
(mwee naogopa tushaambiwa tuondokee Twanga pepeta hivoo)
 
Kama kuna thread imenichekesha mwanzoni mwa mwaka 2012 ni hii. Mwaya Radhia, jiamini mwanamke usirudishwe nyuma na hizi posts zetu kina Mj1, sie tunafurhisha jamvi tu................. hata uzuri wenyewe hatuujui.

By the way, umeolewa, unamilikiwa au bado upo upo mpenzi? sijapata wifi mwaka huu ujue.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom