Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Status
Not open for further replies.
We mtoto hebu tuliza mzuka ...wacha kupiga mayowe acha watu waone wenyewe ...:A S-coffee:

UMEMPA UKWELI FIRST LADY 1
Huyu mtu anajiuza humu JF naona kakosea website zileeeee.....tumsamehe bure.
HAJAWAHI KUSIKIA KWAMBA "UZURI BILA UBONGO ULIOKAA SAWA" HAULIPI SIKU HIZI LOL
 
yo yo upo mkuu ? Vijitu vimejichokea na maisha huko somalia vinakuja kutuita watu na afya zetu fididido eti

weka sura yako babuuu, watu wanataka sura wamechoshwa na maneno.
 
MashaAllah umependeza, ungevaa hijab japo kichwani tu, ungependeza zaidi. Hasad mama hasad, hijab inakulinda na macho ya watu.

Asante shosti! Hapo shemeji yako alikataa nisivae hijab kwasababu ningeficha sura ya ukweli hiyo.
 
yo yo upo mkuu ? Vijitu vimejichokea na maisha huko somalia vinakuja kutuita watu na afya zetu fididido eti
ina maana mrembo radhia katoka baidoa? aiseeee
 
Najua kitawakera sana mashostito lakini kiufupi nimethubutu na nimeweza kutumia picha yangu halisi kama avatar yangu. Si kingine ila ni urembo wangu wa sura ulionifanya nijiweke hadharani kama nilivyo tofauti na vifidodido vinavyojipa majina makubwa lakini sura mbayaaaaa. Mwanamke kujiaminiiiiii.........
Radhia phuuliizi iweka hii picha kwenye post tuone bana.....kwenye avatar napata shida kukuona mrembo..
 
Halafu wewe acha kushadadia kauguze mgonjwa huko
Ha ha ha. Mgonjwa karudi hospital kwa vipimo zaidi ndio mana nmepata mda wa kuja huku, uji upo tayari kwenye chupa. Akirudi tu anakunywa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom