jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,585
mbona kama wanaokushauri ufanye kweli ndo unafurahia? kamoyo kako kanapenda hivyo eeeehNimekupenda gafla Shunie..Ushauri wako ntajitahidi niufanyie kazi
nauliza tu
mbona kama wanaokushauri ufanye kweli ndo unafurahia? kamoyo kako kanapenda hivyo eeeehNimekupenda gafla Shunie..Ushauri wako ntajitahidi niufanyie kazi
Ha ha ha ha shemej una mikwara sana aisee duhhahahahahah unajitetea eeeeeeh, ok sikusemei kabisa hofu ondoa. vzr umetambua kuwa unaanza kubadilika bila kujijua
hahahahahahahahah kwa hiyo ni mikwara eeeeh, niendeleee kwenda kukusemea ili ujue nilikuwa serious?Ha ha ha ha shemej una mikwara sana aisee duh
hahahhhmmhh madam hii chai haina sukari kunywa mwenyewe
Ha ha haha ndio hapo utakapoulizwa story za paja na shemej yako ulianzia wapi ukakosa jibuhahahahahahahahah kwa hiyo ni mikwara eeeeh, niendeleee kwenda kukusemea ili ujue nilikuwa serious?
sema haraka nimetema mate chini yasikauke
duh nisamehewe kwelimhhhhh unashiriki kutenda dhambi miss kwa ushauri wako huu
Kama ndoa yako imefungwa kidini, chumbani mnakolala na mkeo ndiyo sehemu ya kufanya ibada na hakunatakiwa kuheshimiwe. Ninakumbuka tukiwa wadogo, chumbani kwa wazazi tuliingia watoto tu tena kwa kutumwa au kuitwa.Yani hawa wadada kuingia room kwangu naona kama wameshauona utupu wangu..Nahisi nikuuona na wa kwao nafsi yangu inaweza kuridhika kidogo
hahahhh Raimundo wewe
hahahhh Raimundo wewe
ufanyie kazi kaboom ni mzuri sana haitajirudia tena hiyo haliNimekupenda gafla Shunie..Ushauri wako ntajitahidi niufanyie kazi
haujakosea kituKuna kitu nimekosea Shunie?