Mwanamke kuingiza marafiki kwenye chumba cha mumewe

Mwanamke kuingiza marafiki kwenye chumba cha mumewe

Mke anaingiza mashosti zake hadi kwenye chumba chenu cha kulala.

Hivi ukiwatafuna hao mashosti zake unakuwa na kosa kweli?
Kwahiyo kumbe sikuhizi umegeuka Dracular au Vampire?
 
haha aha namuonyesha na napo weka pesa
hahahahah chumba cha wanandoa sio mahali pa mchezo mchezo bhana. Pamebarikiwa na Mungu ni kama hekalu.

Ndo maana ukikuta mwanaume/mwanamke anayethubutu kulala either na hougirl/houseboy or any other creature kwa kitanda cha wanandoa and ofcourse kiko kwenye chumba cha wanandoa atalaaniwa maisha yake yote.

Jst fanya kautafiti utaona, sometimes not easy to see it but inside the victim kuna shida anaipata.

Trust me on that miss.
 
😀😀 Unajua sana usituzuge hapa. K mtu haioni anaona mtindi na paja, sasa ukute paja limeng'aa halina hata doa halafu limenona huwa tunaweweseka kidogo
hahahahahah kwa mavazi ya siku hizi unaweza ona K bhana hujachungulia tu vizuri
 
mkuu wtafune halafu chukua karatasi saga majani makavu changanya na mkaa halafu weka kwenye kona ya kitanda uvunguni hata ona kwa haraka . sasa ukishawagonga na akaja kujua jifanye kama unazinduka usingizini kwamba wamekuloga na hutambui unafanya nini? kaka watafune japo ni dhambi, na uvae condom. me nainazo nusu boksi ukiona aibu kununua njoo chukua kwangu
mhhhhh unashiriki kutenda dhambi miss kwa ushauri wako huu
 
Back
Top Bottom