Mwanamke kuingiza marafiki kwenye chumba cha mumewe

Mwanamke kuingiza marafiki kwenye chumba cha mumewe

Sijafichwa mpendwa.....

Nimehamia kwa Mange kwa muda...maana kuke siku hizi kuna ubuyu moto moto
Teh teh..Ndo mana sikuoni aisee..Mchango umetuma lakini??..Au wala ubuyu tu..
 
Utakuwa umeoa wanawake wale wa kwenye vigodoro
 
tafuna tu wakikushinda omba msaada maisha yenyewe magumu....
 
marahaba best
Leo nimeamini wewe ni great thinker hapa MMU ,
Best kuanzia leo popote nitakapo ona post yako nitakuwa nakupa like kama HESHIMA yangu kwako,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kinachomvutia mwanaume ni maumbili ya nje namaanisha mkia,paja au matiti,sura n.k na sio pusy
 
Back
Top Bottom