Mwanamke kuingiza marafiki kwenye chumba cha mumewe

Mwanamke kuingiza marafiki kwenye chumba cha mumewe

mkuu wtafune halafu chukua karatasi saga majani makavu changanya na mkaa halafu weka kwenye kona ya kitanda uvunguni hata ona kwa haraka . sasa ukishawagonga na akaja kujua jifanye kama unazinduka usingizini kwamba wamekuloga na hutambui unafanya nini? kaka watafune japo ni dhambi, na uvae condom. me nainazo nusu boksi ukiona aibu kununua njoo chukua kwangu
huna akili hata moja nyambafu(nuisuko)
 
Ndege kama wamejileta wenyewe mtegoni si unawanasa mkuu..!!!!!!!!!!..tafuna wote hao usiache hata mfupa.....watu wanatafuna mpaka ma'mkwe we unawaza marafiki wa mkeo.................tafuna ,tena kiroho safi...............
Laana hizo mkuu
 
kuna rafiki yangu flani hivi alikuwa analaza watu room kwake na mumewe wanalala watatu yaani .acha tu
Mumewe akiwa hayupo au....?....yani hao ni kiwakuta kama mi ndo mwenye chumba hata marinda yao ni haki yangu, shenzi type..........
 
mkuu wtafune halafu chukua karatasi saga majani makavu changanya na mkaa halafu weka kwenye kona ya kitanda uvunguni hata ona kwa haraka . sasa ukishawagonga na akaja kujua jifanye kama unazinduka usingizini kwamba wamekuloga na hutambui unafanya nini? kaka watafune japo ni dhambi, na uvae condom. me nainazo nusu boksi ukiona aibu kununua njoo chukua kwangu
ahahaaaa mama wa mipango
 
Mke anaingiza mashosti zake hadi kwenye chumba chenu cha kulala.

Hivi ukiwatafuna hao mashosti zake unakuwa na kosa kweli?
Je kama wangekuwa wanaishia sebuleni huwezi kuwatafuna? Kwani wakiingia chumbani ndo wanakuwa wame-qualify kutafunwa? Makubwa [emoji86] [emoji86]
 
Back
Top Bottom