Mwanamke ukiishaolewa ni marufuku mtu yeyote kuingia chumbani kwako labda wanao.
Kuingiza mashosti chumbani ni kawaida kama hujaolewa, maana mara nyingi tunapenda kuwaingiza waone tunavyopanga chumba yaan usafi. Maana Mashoga zetu wengine wachafu, ukiingia kwao mezani vikombe vya asubuhi bado vipo mezani so tunawaruhusu waingie ili wakitoka wajifunze. Ila bf akija hakuna mtu kuingia maana usimwamini mtu hata siku moja.
Ongea na mkeo mwambia usichana ulishakwisha, maana najua wanaingia kuona nguo mpya, helen wanja na cheni na mikoba tu hawana jipya.
Mkeo ni msafi haoni haya wakiingia