Mwanamke kuingiza marafiki kwenye chumba cha mumewe

Mwanamke kuingiza marafiki kwenye chumba cha mumewe

Linaweza nifaa tu kwani naweza lianika hata kwenye kamba nje kisha nikawa naona K
za wadada tuliopanga nao jirani.
hahahahahahah hiyo sio kwa wa kiume sasa hata nikikuagiza halitakusaidia.
tambua tu lipo mkuu
 
Mie kwa mtizamo wangu ni kuwa miss chagga katoa kinga ya kujihami nayo incase
unaaamua kutafuna hao viumbe wanaokuwa wameamua kufia kwa muuza supu.
hahahahahah naona na wewe unamsapoti, shauri lenu zambi si zangu ni zenu mnashauri
 
Mke anaingiza mashosti zake hadi kwenye chumba chenu cha kulala.

Hivi ukiwatafuna hao mashosti zake unakuwa na kosa kweli?
Kuwa na msimamo kama mwanaume. Kwangu chumbani kwangu ni kwa mimi na mke wangu sio zaidi ya hapo.
 
Mkeo hajafunzwa nn?kaa nae uzungumze nae,asipobadilika asikuhukumu kwa lolote maana mengine wanawake hua tunajitakia alaf baadae tunalalamika.

Mm binafsi chumba changu sitoruhus aingie yyt,zaidi yangu na mme wangu tuu,na hata nkipata huyo mtoto,akianza kupiga hatua tu za kutembea ntamuhamisha chumbani kwake.

Nadhani uyo mkeo hajui heshima na adabu ya chumba mlalacho,mrudishe kwa kungwi akafundwe uzuri[emoji53]
 
Linaweza nifaa tu kwani naweza lianika hata kwenye kamba nje kisha nikawa naona K
za wadada tuliopanga nao jirani.
ohooo pole, hujanielewa, nilimaanisha mavazi tuvaayo wadada wa kizazi hiki bhana.

naamini umenisoma mkuu
 
tubadilisha wake mkuu.. maana mimi wangu hata sebuleni tu sijawahi kuona rafiki zake... nawataka hao wanaozama mpaka chumbani,,, (Hasiione miss natafuta)
 
mkuu wtafune halafu chukua karatasi saga majani makavu changanya na mkaa halafu weka kwenye kona ya kitanda uvunguni hata ona kwa haraka . sasa ukishawagonga na akaja kujua jifanye kama unazinduka usingizini kwamba wamekuloga na hutambui unafanya nini? kaka watafune japo ni dhambi, na uvae condom. me nainazo nusu boksi ukiona aibu kununua njoo chukua kwangu
Sista leo umenikosha..Ila wifi yako akijua huu ushauri umetoka kwako unalo
 
Bas shemej usje ukansemea buree ila uliuliza mwenyewe shemej wala sio mim nilianza???
hahahahahah unajitetea eeeeeeh, ok sikusemei kabisa hofu ondoa. vzr umetambua kuwa unaanza kubadilika bila kujijua
 
Back
Top Bottom