Mwanamke kuingiza marafiki kwenye chumba cha mumewe

mkuu wtafune halafu chukua karatasi saga majani makavu changanya na mkaa halafu weka kwenye kona ya kitanda uvunguni hata ona kwa haraka . sasa ukishawagonga na akaja kujua jifanye kama unazinduka usingizini kwamba wamekuloga na hutambui unafanya nini? kaka watafune japo ni dhambi, na uvae condom. me nainazo nusu boksi ukiona aibu kununua njoo chukua kwangu
 
Hapo inategemea na akili yako wewe mwanaume kama kweli unampenda mkeo ni vyema ukamwambia kuwa anachokifanya sicho na sio kutanguliza mawazo ya kuwatafuna.

Pia na sisi wanawake dah hata hatubadiliki dunia yenyewe hii unakaribishaje marafiki mpaka chumbani.

Tubadilike aisee mana mwisho wa siku yanabaki majuto.
 
paja linatesaga watu eeeeh, paja tu sio K mkuu? nauliza tu mie maana thijui
:D:D Unajua sana usituzuge hapa. K mtu haioni anaona mtindi na paja, sasa ukute paja limeng'aa halina hata doa halafu limenona huwa tunaweweseka kidogo
 
Yaan kama amefikia hatua hyo kuna sehem ulishakisea toka mwanzo mkuu haiwezekana from no where awaingize tu, alianzaa kibarazan ukacheka, sebeulen ukacheka, jikon ukacheka kwenye korido ukacheka so kamalizia chumban to moja kwa moja napo anajua utacheka tu
 
Back
Top Bottom