Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,628
hahahha hongera sana
Asante.
hahahha hongera sana
kwani unataka kuona yangu? hii haionyeshwi kwa yeyote imelipiwa mahari tena kwa garama kubwa
pole lakini
Chikira, nienda kukudhanga[emoji12] [emoji125]mie ni MPARE halisi si Mkurya!!!!
sasa si mali yangu tena siruhusiw kutempa nayo kihivyo.Basi nitailipia gharama ya kuonyeshwa tu usijali juu ya hilo
ok dear nimekupata, niliogopa ati maana misamiati siku hizi ni mingiKichungulie mkuu pole kwa usumbufu
Lipi nikumbushe basiHili la mchepuko tumeshalifuta, tutajadili lile lingine.
Ha haaa acha vituko kwahio ulindwa kabisa kujua kua vidole vimepoteza ushiriki apo?ok dear nimekupata, niliogopa ati maana misamiati siku hizi ni mingi
Mkomoe kabisa nyanyua miguu juu kabisa haha andioooo si kaniingiza mwenyewe
Lipi nikumbushe basi
Hahahaaa! Wacha tu niwe nakusindikiza mlimani inatosha.Lile la wewe kuwa njia kuu.
samahani mkuu umeolewa maana nimevutiwa na your signature 🙂mimi chumba changu na mahabuba wangu hata msichana wa kazi haingii, pia mtoto akifikisha 2yrs chumbani kwangu atapaona Ikulu, kuingia ni kwa appointment.
teh teh