Mwanamke kuingiza marafiki kwenye chumba cha mumewe

Mwanamke kuingiza marafiki kwenye chumba cha mumewe

Usitafune mkuu, ukiwakuta chukua funguo funga mlango kisha tupia funguo uvunguni alafu vua mkanda uwape dozi heavy wote baada ya hapo waache wautafute funguo waondoke zao wewe pumzika

Hawatarudia tena
 
Mke anaingiza mashosti zake hadi kwenye chumba chenu cha kulala.

Hivi ukiwatafuna hao mashosti zake unakuwa na kosa kweli?
Heeee

Mlete huyo mke tumfunde

Ila hiyo sio tiketi ya kutafuna mashosti zake
 
Hahahaha kweli akina Miss chagga mwe makini kupeleka mashost wenu ndani mpaka Pahala pa kuvuana nguo!
Noma sana , si mmna jua sisi wanaume nikiona ndege ana RJ ukaruka mtini lazima nilenge manati!
 
kuna rafiki yangu flani hivi alikuwa analaza watu room kwake na mumewe wanalala watatu yaani .acha tu
Heeee hiyo ni too much... na huyo mwanaume atakuwa mwanaume suruali. Yaan chumba ulipie ww.. mke alete marafiki mlale. Labda kama three some
 
mkuu wtafune halafu chukua karatasi saga majani makavu changanya na mkaa halafu weka kwenye kona ya kitanda uvunguni hata ona kwa haraka . sasa ukishawagonga na akaja kujua jifanye kama unazinduka usingizini kwamba wamekuloga na hutambui unafanya nini? kaka watafune japo ni dhambi, na uvae condom. me nainazo nusu boksi ukiona aibu kununua njoo chukua kwangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Miss chagga shikamo best
 
Hahahaha kweli akina Miss chagga mwe makini kupeleka mashost wenu ndani mpaka Pahala pa kuvuana nguo!
Noma sana , si mmna jua sisi wanaume nikiona ndege ana RJ ukaruka mtini lazima nilenge manati!
najua mkuu me hata kumuona kwa mbali nakatalia
 
Back
Top Bottom