Mwanamke kuingiza marafiki kwenye chumba cha mumewe

mimi chumba changu na mahabuba wangu hata msichana wa kazi haingii, pia mtoto akifikisha 2yrs chumbani kwangu atapaona Ikulu, kuingia ni kwa appointment.

teh teh
"Kuingia kwa appointment..."
Nimecheka hadi nimeonekana chizi aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom