Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,229
Zamani Sana.
Uko vizuri, basi jiandae kuelekea gulioni.
Gulio ni mara moja kwa wiki.
Zamani Sana.
Basi usijali mahabuba nitakupa mahaba mpk upande uber.. nitakujaza vibaba mpk unigande Kama ruba.. mi ndo mfitini niliebalikiwa mpini..😉😜Uko vizuri, basi jiandae kuelekea gulioni.
Gulio ni mara moja kwa wiki.
Masoko karibia yote hiyo ndo bei ta nazi kwa sasa tena sehemu zingine nazi nzuri mpaka 3000[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] duh soko gani hilo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwenye mijadala mbalimbali humu,kwa asilimia kubwa sana ya comment zako, huwa zinahusianisha sana mambo ya kijamii na tendo la ndoa,hata Kama maada haikulenga kabisa hayo maswala. Leo naona Bora nikuulize kitu sasa.Unapenda Sana kutmbw eeh 🤔?Napenda sana mwanaume anaye-appreciate chakula.
Chakula ni kama tendo la ndoa na vinaendana. Jinsi unavyosifia mapishi ya mkeo unampa moyo kesho na wiki ijayo anaongeza maufundi jikono.
Unapomsifia mumeo kwa mauno na mikito anayokupa kitandani wallahi usipoweka kikinga mimba utakuwa unazaa kama wapemba. Maana mwanaume atahamasika kila mara na wasaa aupatao akupe mtungo wa maana.
Kama ilivyo chakula kina mapishi tofauti tofauti na kadha kadha wa kadha kadri mpishi atavyotaka pishi lake liwe ndivyo na tendonla ndoa, lina style kadha wa kadha kadri watumiaji walivyo na utayari wa kugeuka mkao wowote na kuongezeana hamasa ya kula bila kukifu wala kuvimbewa.
Vyote chakula na tendo la ndoa hunogeshwa na chachandu..... 😋😋😋
Hakuna asiyependa kusifiwa, sifa mubashara pale mlaji unapopata ladha murua na pale unapoona kasoro mrekebishe mpishi kosa dogo dogo kesho aboreshe zaidi na si kumdhihaki au kumkebehi, haifai.
Kasinde mie napenda kula msosi mtamu (nauandaa kiufasaha) na napenda Mahaba Matata.
K’ Matata.
Mambo magumu sana nilikuwa nina kastoki kangu ka nazi nilichukua soko la ilala kwa elfu moja kama wiki 2 imepita sasa kastoki kangu kwenye kagenge kangu kanakaribia kuisha sijui itakuwaje itabidi nijipangeMasoko karibia yote hiyo ndo bei ta nazi kwa sasa tena sehemu zingine nazi nzuri mpaka 3000
Dawa ni kuchagua Lissu la sivyo bei itapnda mpaka 700,00 kama tukimpa jiwe nafasi nyingineMambo magumu sana nilikuwa nina kastoki kangu ka nazi nilichukua soko la ilala kwa elfu moja kama wiki 2 imepita sasa kastoki kangu kwenye kagenge kangu kanakaribia kuisha sijui itakuwaje itabidi nijipange
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Basi usijali mahabuba nitakupa mahaba mpk upande uber.. nitakujaza vibaba mpk unigande Kama ruba.. mi ndo mfitini niliebalikiwa mpini..😉😜
Kwenye mijadala mbalimbali humu,kwa asilimia kubwa sana ya comment zako, huwa zinahusianisha sana mambo ya kijamii na tendo la ndoa,hata Kama maada haikulenga kabisa hayo maswala. Leo naona Bora nikuulize kitu sasa.Unapenda Sana kutmbw eeh 🤔?
Watu mnawaza siasa tu [emoji23][emoji23], mwishowe mtatuambia miaka ya 2006 soda ilikuwa sh 200 lakini Sasa mnashangaa ni 500,hivyo tumchague Lissu ili irudi kwenye sh 200.Dawa ni kuchagua Lissu la sivyo bei itapnda mpaka 700,00 kama tukimpa jiwe nafasi nyingine
Usihofu ni wewe tu jiandae maana mtanange watakuja mpk wapambe..😜Usiache kula jibini mahsusi kunoa mpini 🤣🤣🤣🤣🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️
We mwanamke weweeeeh [emoji2], anyway kutoo.. ni lazima[emoji124]Once K’ Matata always K’ Mahaba.
Hakuna msosi naacha kula sinanga aleji.
Wewe unapenda kutoo...!!???
Usihofu ni wewe tu jiandae maana mtanange watakuja mpk wapambe..😜
Abeeehh....We mwanamke weweeeeh [emoji2], anyway kutoo.. ni lazima[emoji124]
😂😂 Kaoga kweli wapambe namaanisha zile popo mbili zinazoning'inia!.. haya rudisha Hilo busati turuke mama..Wapambe nuksi, nshaanua mkeka pishi limeingia majivu msosi hauliki tena.
Chagua Lissu mkuu, hutaki fao la kujitoa?Watu mnawaza siasa tu [emoji23][emoji23], mwishowe mtatuambia miaka ya 2006 soda ilikuwa sh 200 lakini Sasa mnashangaa ni 500,hivyo tumchague Lissu ili irudi kwenye sh 200.
Mkuu usidanganywe tafuta hela,yani hata huyo 🖕 unaedhani akiingia madarakani atakurahisishia maisha,naye anamtafuta urahisi wa maisha kupitia wewe.🚶Chagua Lissu mkuu, hutaki fao la kujitoa?
Sisi wala bar tunacomment wapi?[emoji6]