Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,229
😂😂 Kaoga kweli wapambe namaanisha zile popo mbili zinazoning'inia!.. haya rudisha Hilo busati turuke mama..
Unatingisha kibiriti eeehhh...
😂😂 Kaoga kweli wapambe namaanisha zile popo mbili zinazoning'inia!.. haya rudisha Hilo busati turuke mama..
Hilo halizuii chochote mummie 🤪Hapana mimi ni mamsapu ya Dadii Kitoko 🤪🤪
kauntaSisi wala bar tunacomment wapi?[emoji6]
Tutalifanyia kazina kusema baby leo nataka staili fulani muwe wabunifu wa staili
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14] jiwe unaweza ukampa kura tatizo wale jamaa wanaitwa NEEKiDawa ni kuchagua Lissu la sivyo bei itapnda mpaka 700,00 kama tukimpa jiwe nafasi nyingine
Hashim Rungwe ndio jibu 😎tujadili ukombozi tukiwa na njaa??
Mzee baba tuna ugonjwa unaofanana kumbe. Mie mwanamke anayepika vyakula vitamu huwa nampenda kupita maelezo. Yani kimsingi nainjoy sana kugonga menyu za viwango halafu itokee nimpendaye ndio fundi dah 😂😂😂Sina maneno mingi mingi leo ila napenda tu kusema na kuwambia kina mama/dada zetu kwamba sisi wanaume hamna kitu tunapenda na kukifurahia kama chakula cha nyumbani ambacho ni kitamu kilichopikwa kwa ustadi na level za ki 5 star hotel.
Mambo mengine yotee huko tunaweza kuelekezana ila jikoni ni eneo lenu bwana hebu jitahdini sekta hiyo, hamna kitu inauma na kutia simanzi unaacha hela ya kutosha chakula kitamu halafu unarudi home unakuta umepikiwa chakula cha kambini ki ukweli inauma.
Japo mnatulishaga kwa mahaba na kutudekeza ila niwambieni tu tunakulaga basi tu ila kula vyakula vya kambini nyumbani inatia simanzi kubwa sana,Nyumbani ndio mwisho unajua,nimeshinda kazini mchana yote nimekula kula sehemu tofaut tofaut ninaporudi home tunatamani tukutane na vitu vitamu mezani hata kama ni mboga ya nyanya bila nyama uwezekano wakuipika ile mboga ikawa kama imepikwa kwa mchuzi wa nyama huo uwezo upo bana "hamjaamua tu"
sasa punguzeni kutubebisha,juhudi zenu zihamishieni JIKONI unajua hata tukishba tukafurahia chakula mtu ukashushia maji aaah hata ukienda uwanjani dakika 90 unakimbia vizuri sana tu na huchoki.ila pigo za kutulisha michemsho vitu vimekorogwa korogwa tu aah mnazingua.
Stress za mume zinaondolewa na msosi mtamu tena ulopikwa na wewe maza mjengo sio dada wa kazi,linapokuja swala la matumbo yetu fahamuni nyie ndio wajibu wenu kuhakikisha kinachoingia mmekithibitisha.
Nyie chukulieni poa JIKO,endeleeni hivyo hivyo halafu mtaona kifuatacho ITV.
Umenielewa?sio kwamba wanaotulisha vibovu hawana upendo na sisi etiiiiiii...
ishu sio kuleta mbwembwe za mahaba na upendo,tunataka chakula kitamuuuuuu
chakula ambacho mtu unaweza ukaalika wageni wakala wote wakatingisha kichwa kukubali.
Mahaba/sijui upendo sijui nini viwepo tu ila jikoni tunahitaji vitoke vitu vyakueleweka,vinavyolika.
Tukiwa tuna kula kula ndio mwanzo wa vitambi, wengine miili yetu ina shukrani asee.Ukiona mkeo hana hamshahamsha za mapishi ujue rafiki yangu huna jipya
Ila ukipata mume anaependa kula raha sana, yaan muda wote unawashwa kupikapika tuu
Tena usiombee akamwambie baby nina hamu ya chakula flan
[emoji134]Bado hajaolewa.. sema anapenda maisha ya kizungu kizungu yaan yeye majukumu ya nyumbani huwa hafanyi kabisa..
Mie pia nina asili ya mwili na nipo counsious sana na kuongezeka uzito lakn napenda mtu mwenye apetiteTukiwa tuna kula kula ndio mwanzo wa vitambi, wengine miili yetu ina shukrani asee.
Hapo kwenye zoezi ndio changamoto, mie nikila nyama mfululizo kitumbo hicho kinakuja, mashati yana bana...sasa nikioa sijuhi itakuaje najiuliza.Mie pia nina asili ya mwili na nipo counsious sana na kuongezeka uzito lakn napenda mtu mwenye apetite
Yaan kula tunakula ila mazoezi muhimu
Changamoto kivipi? Huwezi ama huna mudaHapo kwenye zoezi ndio changamoto, mie nikila nyama mfululizo kitumbo hicho kinakuja, mashati yana bana...sasa nikioa sijuhi itakuaje najiuliza.
Wanawake mlivyo na wivu, nisipokula sana msosi wako, utanuna.
Kitambi zoezi la kutoa kitambi ni changamoto kwangu, mie hata nilila supu ya mbuzi kwa wiki moja tuu.Changamoto kivipi? Huwezi ama huna muda
Nyama mfulilizo kwa muda gani? Vifungo hazifungi
Mie kununa siwezi ila ndio nitauliza maswali mpk nijue why hujala