Kweli kabisa hakuna raha kama unapika chakula mtu anakula na anakisifia yaan huwa nafurahi sana na kunipa nguvu ya kupika na kujifunza aina tofauti ya vyakula, Yaan mimi jikoni huwa sitaki aingie mtu mwingne yan kila mda nataka nipike mimi tu..
Sema kupika ni kama kipaji na ukipenda na kukifurahia unachokifanya bas hakuna chakula kitakachokushinda kupika.. Mimi nina dada angu mkubwa tumelelewa pamoja ila ikija kwenye suala la kupika utadhan tumelelewa tofauti maana hajawah kujua kupika kabisa na saiz ana miaka km 27 lakin hajui kusonga hata ugali wa watu wawili.