Mwanamke jiko bana, kwingine tutaelekezana tu

Bado hajaolewa.. sema anapenda maisha ya kizungu kizungu yaan yeye majukumu ya nyumbani huwa hafanyi kabisa..
Dah embu jitaidi umsaidie dada yako kama unampenda mana huko aendako sio kuzuri kama hajui kupika labda ndoto zake kuja kuolewa na mzungu hata ivyo sidhani kama kuna mzungu anakubali kupikiwa chakula kibovu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Napenda sana mwanaume anaye-appreciate chakula.

Chakula ni kama tendo la ndoa na vinaendana. Jinsi unavyosifia mapishi ya mkeo unampa moyo kesho na wiki ijayo anaongeza maufundi jikono.

Unapomsifia mumeo kwa mauno na mikito anayokupa kitandani wallahi usipoweka kikinga mimba utakuwa unazaa kama wapemba. Maana mwanaume atahamasika kila mara na wasaa aupatao akupe mtungo wa maana.

Kama ilivyo chakula kina mapishi tofauti tofauti na kadha kadha wa kadha kadri mpishi atavyotaka pishi lake liwe ndivyo na tendonla ndoa, lina style kadha wa kadha kadri watumiaji walivyo na utayari wa kugeuka mkao wowote na kuongezeana hamasa ya kula bila kukifu wala kuvimbewa.

Vyote chakula na tendo la ndoa hunogeshwa na chachandu..... 😋😋😋

Hakuna asiyependa kusifiwa, sifa mubashara pale mlaji unapopata ladha murua na pale unapoona kasoro mrekebishe mpishi kosa dogo dogo kesho aboreshe zaidi na si kumdhihaki au kumkebehi, haifai.

Kasinde mie napenda kula msosi mtamu (nauandaa kiufasaha) na napenda Mahaba Matata.

K’ Matata.
Ewaaaaa!
 
Hili ndilo lilinifanya kuowa mwanamke wa kidigo,uwezi amini kazini sili hata siku moja na washa ndinga nakula narudi Hadi jamaa zangu wananishanga nami nawambia kuna vitu flaniflani napata Ni ngumu kuviweka kwenye mandishi
Sio mbwata Hilo kweli?
 
Kweli kabisa hakuna raha kama unapika chakula mtu anakula na anakisifia yaan huwa nafurahi sana na kunipa nguvu ya kupika na kujifunza aina tofauti ya vyakula, Yaan mimi jikoni huwa sitaki aingie mtu mwingne yan kila mda nataka nipike mimi tu..

Sema kupika ni kama kipaji na ukipenda na kukifurahia unachokifanya bas hakuna chakula kitakachokushinda kupika.. Mimi nina dada angu mkubwa tumelelewa pamoja ila ikija kwenye suala la kupika utadhan tumelelewa tofauti maana hajawah kujua kupika kabisa na saiz ana miaka km 27 lakin hajui kusonga hata ugali wa watu wawili.
Huyo kwa mujibu wanna jamii forum ...Miaka take 27 Ni mzee...Sasa Kama Tena hajui na kusonga ugali..

Atapata tabu Sana...huyo mzee mwenzangu
 
Waziri wa kilimo na wenye dhamana ya kilimo Halmashauri watupatie ufumbuzi wa tatizo la ukosefu wa bidhaa ya nazi sokoni,

Hii haipaswi kuachwa hivi jamani.
 
Kuna tetesi kuwa kuna mcomoro eti anazinunua zote kule Mafia , Je hii ni kweli?

Fuatilieni kujua ukweli,

Kama ni kweli itabidi muingilie kati ku regulate hiyo supply aisee maana sasa hali si hali.
 
Hili ndilo lilinifanya kuowa mwanamke wa kidigo,uwezi amini kazini sili hata siku moja na washa ndinga nakula narudi Hadi jamaa zangu wananishanga nami nawambia kuna vitu flaniflani napata Ni ngumu kuviweka kwenye mandishi
Mazingira ulikulia
 
Napenda sana mwanaume anaye-appreciate chakula.

Chakula ni kama tendo la ndoa na vinaendana. Jinsi unavyosifia mapishi ya mkeo unampa moyo kesho na wiki ijayo anaongeza maufundi jikono.

Unapomsifia mumeo kwa mauno na mikito anayokupa kitandani wallahi usipoweka kikinga mimba utakuwa unazaa kama wapemba. Maana mwanaume atahamasika kila mara na wasaa aupatao akupe mtungo wa maana.

Kama ilivyo chakula kina mapishi tofauti tofauti na kadha kadha wa kadha kadri mpishi atavyotaka pishi lake liwe ndivyo na tendonla ndoa, lina style kadha wa kadha kadri watumiaji walivyo na utayari wa kugeuka mkao wowote na kuongezeana hamasa ya kula bila kukifu wala kuvimbewa.

Vyote chakula na tendo la ndoa hunogeshwa na chachandu..... 😋😋😋

Hakuna asiyependa kusifiwa, sifa mubashara pale mlaji unapopata ladha murua na pale unapoona kasoro mrekebishe mpishi kosa dogo dogo kesho aboreshe zaidi na si kumdhihaki au kumkebehi, haifai.

Kasinde mie napenda kula msosi mtamu (nauandaa kiufasaha) na napenda Mahaba Matata.

K’ Matata.
comments zako zinaeleweka

Una style yakipekee
 
Mama ntilie wamejaa kibaoo....wee cha msingi mke ajue kutingisha takrooo vizuri kula ata hotelini nitakula tuu
Mkuu unaonekana bado hujaoa, asikwambie mtu kuna raha moja tamu sana kula chakula Cha mke wako tena unakuta wiki end tulivu wife anaandaa maanjumati mbishi umetulia zako sebuleni huku unasubili msoc malidadi wa wife

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Napenda sana mwanaume anaye-appreciate chakula.

Chakula ni kama tendo la ndoa na vinaendana. Jinsi unavyosifia mapishi ya mkeo unampa moyo kesho na wiki ijayo anaongeza maufundi jikono.

Unapomsifia mumeo kwa mauno na mikito anayokupa kitandani wallahi usipoweka kikinga mimba utakuwa unazaa kama wapemba. Maana mwanaume atahamasika kila mara na wasaa aupatao akupe mtungo wa maana.

Kama ilivyo chakula kina mapishi tofauti tofauti na kadha kadha wa kadha kadri mpishi atavyotaka pishi lake liwe ndivyo na tendonla ndoa, lina style kadha wa kadha kadri watumiaji walivyo na utayari wa kugeuka mkao wowote na kuongezeana hamasa ya kula bila kukifu wala kuvimbewa.

Vyote chakula na tendo la ndoa hunogeshwa na chachandu..... [emoji39][emoji39][emoji39]

Hakuna asiyependa kusifiwa, sifa mubashara pale mlaji unapopata ladha murua na pale unapoona kasoro mrekebishe mpishi kosa dogo dogo kesho aboreshe zaidi na si kumdhihaki au kumkebehi, haifai.

Kasinde mie napenda kula msosi mtamu (nauandaa kiufasaha) na napenda Mahaba Matata.

K’ Matata.

Bado napambana na Mimi niwe mkubwa ili nifaidi

Wakubwa wanafaidi sana
 
Mkuu unaonekana bado hujaoa, asikwambie mtu kuna raha moja tamu sana kula chakula Cha mke wako tena unakuta wiki end tulivu wife anaandaa maanjumati mbishi umetulia zako sebuleni huku unasubili msoc malidadi wa wife

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Ah wikend tena nimetulia ndani kama mtumbo...wikend ni mwendo wa kwenda kugegeda sehemu tofauti bwana
 
Back
Top Bottom