Mwanamke jiko bana, kwingine tutaelekezana tu

Mwanamke jiko bana, kwingine tutaelekezana tu

Mshkaji wangu mmoja kwake kulikua na House girl anapika msosi mtamu kuliko mama mjengo, asee ilikua full kumsifia hadi ukila unaongeza msosi...yule hakuchukua round shemeji alimfukuza.
wanawake wanayumba hapo tu kwenye "wivu"

ukiwambia wajiongeze hawataki,mimi nasemaga

nikijiskia kuchepuka nachepuka ole wake aje aniulize

eti "controla umekosa nini kwangu" hadi uchepuke?

jibu nitalompa hatokaa aamini maskio yake,maana ataenda li search Google...
 
wanawake wanayumba hapo tu kwenye "wivu"

ukiwambia wajiongeze hawataki,mimi nasemaga

nikijiskia kuchepuka nachepuka ole wake aje aniulize

eti "controla umekosa nini kwangu" hadi uchepuke?

jibu nitalompa hatokaa aamini maskio yake,maana ataenda li search Google...
Ukichepuka halafu akijua, atalipiza asee.
 
Ukichepuka halafu akijua, atalipiza asee.
wanaume wanaoochepuka wanagundulika hao ni marayaaa tu..

wanaume smart mpk ugundue alichepuka ni utapoona anakapenda..

katoto flani halafu hako katoto kamemfananiaa,ndio mtu unaunganisha dot..

unajua hii njemba ilichepukaga ila tofauti na hapo ni uboya kuchepuka mke wa ndoa akajua..
 
Kuna wanawake wanapika chakula kitamu aiseee....

Enzi za ubachela, kuna chimbo moja la mgahawa nilikuwa sikauki kwenda. Ikabidi niweke bila ya mwaka.
Dunianii kuna watu wana talent hizo mkuu,kuna hiyo sehemu nakulaga

anapika jamaa tu,mjuba yule anapika kiasi kwamba unaweza hisi chakula kai download.
 
sio kwamba wanaotulisha vibovu hawana upendo na sisi etiiiiiii...

ishu sio kuleta mbwembwe za mahaba na upendo,tunataka chakula kitamuuuuuu

chakula ambacho mtu unaweza ukaalika wageni wakala wote wakatingisha kichwa kukubali.

Mahaba/sijui upendo sijui nini viwepo tu ila jikoni tunahitaji vitoke vitu vyakueleweka,vinavyolika.
Umeelewa kinyume

Kukiwa na upendo mara nyingi chakula kinapikwa vyema

Mfano siku mtu amevurugika ama stress kibao unadhani chakula kinaweza kulika!
 
Umeelewa kinyume

Kukiwa na upendo mara nyingi chakula kinapikwa vyema

Mfano siku mtu amevurugika ama stress kibao unadhani chakula kinaweza kulika!
Naongelea nyumba yenye pendo,amani na furaha na kila kitu

kinachoweza kuwafanya mka smile na kufurahi kama familia

lakini bado vyakula vinapikwa vyakula vya kambini,visivyo na

ushirikiano ndio mana nikasema wakati wakula huwa tunalishwa

saa zingine kama watoto kabisa ila bado msosi ni m'bovu.....
 
Sina maneno mingi mingi leo ila napenda tu kusema na kuwambia kina mama/dada zetu kwamba sisi wanaume hamna kitu tunapenda na kukifurahia kama chakula cha nyumbani ambacho ni kitamu kilichopikwa kwa ustadi na level za ki 5 star hotel.

Mambo mengine yotee huko tunaweza kuelekezana ila jikoni ni eneo lenu bwana hebu jitahdini sekta hiyo, hamna kitu inauma na kutia simanzi unaacha hela ya kutosha chakula kitamu halafu unarudi home unakuta umepikiwa chakula cha kambini ki ukweli inauma.

Japo mnatulishaga kwa mahaba na kutudekeza ila niwambieni tu tunakulaga basi tu ila kula vyakula vya kambini nyumbani inatia simanzi kubwa sana,Nyumbani ndio mwisho unajua,nimeshinda kazini mchana yote nimekula kula sehemu tofaut tofaut ninaporudi home tunatamani tukutane na vitu vitamu mezani hata kama ni mboga ya nyanya bila nyama uwezekano wakuipika ile mboga ikawa kama imepikwa kwa mchuzi wa nyama huo uwezo upo bana "hamjaamua tu"

sasa punguzeni kutubebisha,juhudi zenu zihamishieni JIKONI unajua hata tukishba tukafurahia chakula mtu ukashushia maji aaah hata ukienda uwanjani dakika 90 unakimbia vizuri sana tu na huchoki.ila pigo za kutulisha michemsho vitu vimekorogwa korogwa tu aah mnazingua.

Stress za mume zinaondolewa na msosi mtamu tena ulopikwa na wewe maza mjengo sio dada wa kazi,linapokuja swala la matumbo yetu fahamuni nyie ndio wajibu wenu kuhakikisha kinachoingia mmekithibitisha.

Nyie chukulieni poa JIKO,endeleeni hivyo hivyo halafu mtaona kifuatacho ITV.
Daah mkuu yani nazani umetoa dukuduku langu wanawake wa siku hizi hawajui kupika na nikimpata wa kujua kupika kesho namuoa
 
Back
Top Bottom