Mwanamke jiko bana, kwingine tutaelekezana tu

Mwanamke jiko bana, kwingine tutaelekezana tu

Hili ndilo lilinifanya kuowa mwanamke wa kidigo,uwezi amini kazini sili hata siku moja na washa ndinga nakula narudi Hadi jamaa zangu wananishanga nami nawambia kuna vitu flaniflani napata Ni ngumu kuviweka kwenye mandishi
Hajakuekea limbwata kweli maana ata siku moja unaenda kula na wana sasa ww ni amna kabsa kila day home
 
Muwe mnaacha na hela ya kutosha na pia Kama unaona hawezi mwambie ukweli kua hajui kupika ili ajiongeze kwa kwenda shule au ajifunze kwenye mitandao.
Unakula na kugugumia moyoni bila kumwambia atajuaje sasa?
Aende shule wakat anakuwa akiwa binti anakuwa inaonekana alikuwa mvivu wa kazi za home... Hvi na mimi nkikuoa alaf sijui kut*mba nakuuliza niingze wap utaniambia niende shule nkajifunze kugegeda..?
 
nakubaliana na wwewe asee.msos wa ukweli ndio mpango mzima.suou itiwe tangawiz swaum inukie sio kuwekewa ma maji matupu
 
BIG YES,mim nikilaga chakula kzur na aliekipika kama sio ndugu yangu huwa nataman baada ya msosi nmgegede
 
Sina maneno mingi mingi leo ila napenda tu kusema na kuwambia kina mama/dada zetu kwamba sisi wanaume hamna kitu tunapenda na kukifurahia kama chakula cha nyumbani ambacho ni kitamu kilichopikwa kwa ustadi na level za ki 5 star hotel.

Mambo mengine yotee huko tunaweza kuelekezana ila jikoni ni eneo lenu bwana hebu jitahdini sekta hiyo, hamna kitu inauma na kutia simanzi unaacha hela ya kutosha chakula kitamu halafu unarudi home unakuta umepikiwa chakula cha kambini ki ukweli inauma.

Japo mnatulishaga kwa mahaba na kutudekeza ila niwambieni tu tunakulaga basi tu ila kula vyakula vya kambini nyumbani inatia simanzi kubwa sana,Nyumbani ndio mwisho unajua,nimeshinda kazini mchana yote nimekula kula sehemu tofaut tofaut ninaporudi home tunatamani tukutane na vitu vitamu mezani hata kama ni mboga ya nyanya bila nyama uwezekano wakuipika ile mboga ikawa kama imepikwa kwa mchuzi wa nyama huo uwezo upo bana "hamjaamua tu"

sasa punguzeni kutubebisha,juhudi zenu zihamishieni JIKONI unajua hata tukishba tukafurahia chakula mtu ukashushia maji aaah hata ukienda uwanjani dakika 90 unakimbia vizuri sana tu na huchoki.ila pigo za kutulisha michemsho vitu vimekorogwa korogwa tu aah mnazingua.

Stress za mume zinaondolewa na msosi mtamu tena ulopikwa na wewe maza mjengo sio dada wa kazi,linapokuja swala la matumbo yetu fahamuni nyie ndio wajibu wenu kuhakikisha kinachoingia mmekithibitisha.

Nyie chukulieni poa JIKO,endeleeni hivyo hivyo halafu mtaona kifuatacho ITV.
Hahahaha haki nimejikuta nacheka
 
Napenda sana mwanaume anaye-appreciate chakula.

Chakula ni kama tendo la ndoa na vinaendana. Jinsi unavyosifia mapishi ya mkeo unampa moyo kesho na wiki ijayo anaongeza maufundi jikono.

Unapomsifia mumeo kwa mauno na mikito anayokupa kitandani wallahi usipoweka kikinga mimba utakuwa unazaa kama wapemba. Maana mwanaume atahamasika kila mara na wasaa aupatao akupe mtungo wa maana.

Kama ilivyo chakula kina mapishi tofauti tofauti na kadha kadha wa kadha kadri mpishi atavyotaka pishi lake liwe ndivyo na tendonla ndoa, lina style kadha wa kadha kadri watumiaji walivyo na utayari wa kugeuka mkao wowote na kuongezeana hamasa ya kula bila kukifu wala kuvimbewa.

Vyote chakula na tendo la ndoa hunogeshwa na chachandu..... 😋😋😋

Hakuna asiyependa kusifiwa, sifa mubashara pale mlaji unapopata ladha murua na pale unapoona kasoro mrekebishe mpishi kosa dogo dogo kesho aboreshe zaidi na si kumdhihaki au kumkebehi, haifai.

Kasinde mie napenda kula msosi mtamu (nauandaa kiufasaha) na napenda Mahaba Matata.

K’ Matata.
usalama hapa ni zero duuu
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] duh soko gani hilo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app


Ni kweli tena maeneo mengine bei ni zaidi 2,000/-

Wewe ukimaliza stock yako nenda kanunue uone bei utakayoikuta na size ya nazi utachoka mwenyewe labda itokee bei ishuke
 
Ukiona mkeo hana hamshahamsha za mapishi ujue rafiki yangu huna jipya
Ila ukipata mume anaependa kula raha sana, yaan muda wote unawashwa kupikapika tuu
Tena usiombee akamwambie baby nina hamu ya chakula flan
 
Ukiona mkeo hana hamshahamsha za mapishi ujue rafiki yangu huna jipya
Ila ukipata mume anaependa kula raha sana, yaan muda wote unawashwa kupikapika tuu
Tena usiombee akamwambie baby nina hamu ya chakula flan
na kusema baby leo nataka staili fulani muwe wabunifu wa staili
 
Out yetu yakwanza tutaenda wapi ili nione kubemendwa ndo kukoje!

Gulioni uone wanakaterero wanavyosakanya bidhaa bila kupepesa macho.

Dichi kidimbwi uone wana wanavyopiga mbizi.

Chagua unataka ipi ianze.
 
Gulioni uone wanakaterero wanavyosakanya bidhaa bila kupepesa macho.

Dichi kidimbwi uone wana wanavyopiga mbizi.

Chagua unataka ipi ianze.
Hiyo ya katerero..😜
 
Back
Top Bottom