Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,984
- 113,846
Mahari yake napokea kwa awamu ya kudunduliza
Mahari yake napokea kwa awamu ya kudunduliza
🤣🤣🤣eti muujizaHii ni self golden chance, haina haja ya muujiza wa Mwamposa
😁😁 hamna shida kwa huyu hata 90% ya mahari ntalipa at once budaMahari yake napokea kwa awamu ya kudunduliza
Khaaaa 🤣🤣Mahari yake napokea kwa awamu ya kudunduliza
si sawa mamy?😁Khaaaa 🤣🤣
Mwanaume yoyote ana mwanamke wake anaempa pesa tena bila hata kuombwaBasi itakuwa mimi nina tatizo somewhere kichwani kwangu, kwasababu napenda na nafurahi kumpe mke wangu pesa hata kama sio nyingi, ila kuna furaha flani napata na huwa haniombi ombi
Usiogope 😄si sawa mamy?😁
Mashallah 😍Usiogope 😄
Unapenda watu wakipendanaNa-wish hivi iwe real yaani 😍
Ipo hivyoYeah, naunga mkono hoja ✊
kaka, kunguru anafugika mpe makange tu na piga spakos za kwenda, akijichanganya kosa dogo sana kabia juu ndo ile kesi ya kuku unauza ng'ombe makofi ngumi ndo booster ya ndoaKunguru hafugiki kamwe!
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Ukimpata wa kukuchezea ndio shida inaanzia hapo na kumjua ni ngumuMarisktaker huwa tunafanya kununua hata kabla ya kupata chochote.
Wengine giving ni nature yao tu.
Sasa hapo inategemea na mtu unayempa.
Its gud kwakweliSana yaani 🙏
Hutaki au ?Khaaaa 🤣🤣
DuhMkuu utakuwa shujaa wangu wa mwaka 2026 👏👏👏