Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,881
- 44,234
😁😁😁gudubayiiiThen You ere finished.
😁😁😁gudubayiiiThen You ere finished.
Ushanipata mim disappointment sasa basi😊Na ndo hatunaga bahati ya wanaume wa maana full disappointment
Janja janja nyingi hawana lolote wenye misimamo wachache sanaKuna mmoja ikiwa bado sijafanya nae sex tukiwa tupo kwenye mahusiano akawa ananiambia siwezi kukupa mpaka unioe Sasa nikamwambia kwani wewe ni bikra akasema hapana nikamwambia kwanini unataka unipe mpaka nikikuoa mbona kwenye shida zako unaomba nikutatulie Je namimi nikisema kama unavyosema wewe nitakuwa ninakosea??? akawa anasema Mimi sipendi mapenzi na nimeokoka.Basi baadae nikamla tangu nimle mara nyingi yeye ndio akawa ananiomba game hivi viumbe vina shida sio kila jambo lao uliamini
Hatari mkuuDah! Nimecheka
Wapo wanaosema hiyo ni moja ya sababu ya kufanya watafute mchepuko lakini wapo ambao hawaridhiki hata kama anapewaMi sio mke wa mtu
Tuwaulize walio olewa shida nn?
Japo najua mojawapo ni usaliti wa wanaume unaua hisia sn
Half american Christine_1 Missy Gf Hziyech22 Kuna baadhi wadada ni pisi balaa, ila amegonga 30+ hana mume wala mahusiano ya maana, unaeza dhani kalogwa au ana jini mahaba, kumbe sio ukichunguza unakuta yuko single sababu ya tabia yake ya kupiga vizinga wanaume, wanaume wanaishia kumkimbia 🙄Kweli kabisa ke wabinafsi sana wanataka wahudumiwe tu bure bure. Wengine wanalalamika kabisa huwezi ukanihudumia bila kufanya tendo. Ukishaona hivyo ujue hapo unatumika
Wanaopiga vizinga, tabia mbovu ndo wanaolewa km hujuiHalf american Christine_1 Missy Gf Hziyech22 Kuna baadhi wadada ni pisi balaa, ila amegonga 30+ hana mume wala mahusiano ya maana, unaeza dhani kalogwa au ana jini mahaba, kumbe sio ukichunguza unakuta yuko single sababu ya tabia yake ya kupiga vizinga wanaume, wanaume wanaishia kumkimbia 🙄
Uchoyo tu hahahaKuna demu nilidate nae ni liability
kila akiomba ela namwambia sina au nampa kidogo baada ya muda akakimbia nikafurahi sana ....
Na ilikua Bado kidg nianze kumshirikisha mambo yangu ya kiuchumi dah
Hapanaaaa huyo alikua liabilityUchoyo tu hahaha
Natoa kwanza kwa sababu napenda kutoaKwahiyo sio kwamba unatoa sababu inatoka moyoni, unatoa ili yeye aje akupe zaidi Sasa hayo ni mapenzi au biashara 🤔 Saint Anne
Hao wanaume wengi wao they're simply ignorant kuhusu female nature, kama wanaume wa zamani walivokuwa ignorant, Wana miradi ya wao kumudu kuendesha familia na wanafikiri kuchunwa ndio kupendwa.Wanaopiga vizinga, tabia mbovu ndo wanaolewa km hujui
Fuatilia uone...
Hii kitu haina formula
Yaani kuna wanaume wanapenda hizo hekaheka
Hapa uko sawa Saint AnneNatoa kwanza kwa sababu napenda kutoa
Mimi binafsi ni mtoajiHapa uko sawa Saint Anne
Inawezekana. Mbona mimi ni Mtu tena wa Equatorial Climate kabisa na nimeweza kuwa na mke mmoja na sina mchepuko? Kwanza kitambo nilipata changamoto kidogo, nikagundua ni kukaa chini na wife na kumwambia hata kama tumekosana, ahakikishe huduma hii muhimu ipo full-time, na hivyo huwa siwazi kabisa kwenda kwingine kupata huduma ambayo ninayo home tena bila tozo wala riba. Huwa nikiwaza kuhonga pesa kwa kitu nilichonacho ndani si bora niwahi home nikaipate? Ndiyo, kwanza sina muda wa kuanza kusumbuka kumtafuta binti nimtongoze sijui nianze kumjali sijui kila mara niwe na wasiwasi kwenye simu niweke pattern ngumu kama njia ya kwenda peponi, akipiga simu nianze kujikanyaga hapo, shida yote hiyo ya nini? Ila nimeshawahi tongozwa na binti hadharani, nikapendwa na wanawake live wanataka kuolewa na wengine wako tayari hata kuwa second wife, lakini Mungu akaniepusha na kikombe hicho... Kwanza siwapi muda, pili, siwajali kwa chochote, si salamu wala posho. Wakizingua nawazingua... Wakituma SMS siwajibu. Wananunaaaa, kwangu inakuwa furaha na ahueni. Ukiwa huwapi nafasi basi huwapati. Kuwa mbinafsi, jali watoto wako, jali mkeo, wapuuze wengine, waone kama mabibi zako, na hawatakusumbua.Sio kwa hawa watu weusi
Wachache sn wanaweza kuwa na mtu 1
Wapiga vizinga wengi hawana ndoa na hawawezi kupenda ndoa kwa sababu itawanyima fursaHalf american Christine_1 Missy Gf Hziyech22 Kuna baadhi wadada ni pisi balaa, ila amegonga 30+ hana mume wala mahusiano ya maana, unaeza dhani kalogwa au ana jini mahaba, kumbe sio ukichunguza unakuta yuko single sababu ya tabia yake ya kupiga vizinga wanaume, wanaume wanaishia kumkimbia 🙄
We acha tuNa ndo hatunaga bahati ya wanaume wa maana full disappointment
Ila ni kweli aisee Sasa hivi wadada wengi wapo single wengi wao more selectiveHalf american Christine_1 Missy Gf Hziyech22 Kuna baadhi wadada ni pisi balaa, ila amegonga 30+ hana mume wala mahusiano ya maana, unaeza dhani kalogwa au ana jini mahaba, kumbe sio ukichunguza unakuta yuko single sababu ya tabia yake ya kupiga vizinga wanaume, wanaume wanaishia kumkimbia 🙄
Uamuzi Bora kabisa hiyo ndio maana halisi ya kuwa mwanaume kongole sana mwamba Endelea kuwa hivyo hivyoInawezekana. Mbona mimi ni Mtu tena wa Equatorial Climate kabisa na nimeweza kuwa na mke mmoja na sina mchepuko? Kwanza kitambo nilipata changamoto kidogo, nikagundua ni kukaa chini na wife na kumwambia hata kama tumekosana, ahakikishe huduma hii muhimu ipo full-time, na hivyo huwa siwazi kabisa kwenda kwingine kupata huduma ambayo ninayo home tena bila tozo wala riba. Huwa nikiwaza kuhonga pesa kwa kitu nilichonacho ndani si bora niwahi home nikaipate? Ndiyo, kwanza sina muda wa kuanza kusumbuka kumtafuta binti nimtongoze sijui nianze kumjali sijui kila mara niwe na wasiwasi kwenye simu niweke pattern ngumu kama njia ya kwenda peponi, akipiga simu nianze kujikanyaga hapo, shida yote hiyo ya nini? Ila nimeshawahi tongozwa na binti hadharani, nikapendwa na wanawake live wanataka kuolewa na wengine wako tayari hata kuwa second wife, lakini Mungu akaniepusha na kikombe hicho... Kwanza siwapi muda, pili, siwajali kwa chochote, si salamu wala posho. Wakizingua nawazingua... Wakituma SMS siwajibu. Wananunaaaa, kwangu inakuwa furaha na ahueni. Ukiwa huwapi nafasi basi huwapati. Kuwa mbinafsi, jali watoto wako, jali mkeo, wapuuze wengine, waone kama mabibi zako, na hawatakusumbua.