Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,984
- 113,846
yale yaliyo mema unayopenda kufanyiwa ndio ya upendoNdo yepi hayo🤔
yale yaliyo mema unayopenda kufanyiwa ndio ya upendoNdo yepi hayo🤔
👌 wowWe huitaki ndoa iliyo njema?
Ndiyo mamyChap kwa haraka 🤣🤣
Oohyale yaliyo mema unayopenda kufanyiwa ndio ya upendo
Hii dunia hatari sana unaemuona salama ndio hatari zaidiNdilo la muhimu
Maana dunia nayo ipo kazini kuhakikisha watu wa namna hiyo hamkutani
Ndio dada
Hili ni swali kweliNa wewe unampa nini huyo mtu mpaka ustahili kupewa pesa kila utakapohitaji???
Ila Mungu anatuwazia mema,Hii dunia hatari sana unaemuona salama ndio hatari zaidi
Ndugu muolewaji Kula chuma hicho👌 wow
Mashemeji wadhasrma mi ni nani nipinge🤣
Hakika na atuepushie watu wasiotustahiliIla Mungu anatuwazia mema,
Tukae magotini,Atupe njia.
🤣🤪🤪Ndugu muolewaji Kula chuma hicho
Shukuru huyo kuja maishani mwako ungefurahi hivi lini?
🤣🤣🤣loooShukuru huyo kuja maishani mwako ungefurahi hivi lini?
Miss uIla Mungu anatuwazia mema,
Tukae magotini,Atupe njia.
Nmekaa natafakari hapa ningekuwa mkaka ningetoa wapi hela ya kuhonga 😞Btw, kwann usubiri mpk mwanamke wako akuombe pesa ?
Sio sawa, fanya kwa sehem yako kwa uwezo wako hiohuo ulionao...
Ni nzuri kuliko mpk usubiri uombwe sio poa wakaka
Wameumbiwa hiko kitu ndani mwao 🤣Nmekaa natafakari hapa ningekuwa mkaka ningetoa wapi hela ya kuhonga 😞
Kama huoni kama ni swali,basi endelea na Hao Hao ambao wanajua kutoa tuu bila kujaliHili ni swali kweli