Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

Tatizo linaanzia hapo kwenye kutumia hisia. Kuna mwanamke tangu siku ya kwanza kabisa unaona redflag ila unakomaa upige
Hapo ndipo wanapofeli unakuta kila ukimpanga anakupa sababu zisizo na kichwa wala miguu alafu still akiomba shida zake we unaendelea kumtatulia hapo tayari we ndio unashida. Kwenye Dunia ya Sasa ukiona kutumia nguvu kubwa kumpata mwanamke wejua huwezi kudumu kwenye hayo mahusiano
 
Hapo ndipo wanapofeli unakuta kila ukimpanga anakupa sababu zisizo na kichwa wala miguu alafu still aliomba shida zake we unaendelea kumtatulia hapo tayari we ndio unashida. Kwenye Dunia ya Sasa ukiona kutumia nguvu kubwa kumpata mwanamke wejua huwezi kudumu kwenye hayo mahusiano
Kweli kabisa ke wabinafsi sana wanataka wahudumiwe tu bure bure. Wengine wanalalamika kabisa huwezi ukanihudumia bila kufanya tendo. Ukishaona hivyo ujue hapo unatumika
 
Kweli kabisa ke wabinafsi sana wanataka wahudumiwe tu bure bure. Wengine wanalalamika kabisa huwezi ukanihudumia bila kufanya tendo. Ukishaona hivyo ujue hapo unatumika
Kuna mmoja ikiwa bado sijafanya nae sex tukiwa tupo kwenye mahusiano akawa ananiambia siwezi kukupa mpaka unioe Sasa nikamwambia kwani wewe ni bikra akasema hapana nikamwambia kwanini unataka unipe mpaka nikikuoa mbona kwenye shida zako unaomba nikutatulie Je namimi nikisema kama unavyosema wewe nitakuwa ninakosea??? akawa anasema Mimi sipendi mapenzi na nimeokoka.Basi baadae nikamla tangu nimle mara nyingi yeye ndio akawa ananiomba game hivi viumbe vina shida sio kila jambo lao uliamini
 
Kiukweli jmn kuomba hela ni kazi asikwambue mtu!nje ya mzazi, kaka, dada ni kipengele...

Napenda mtu yeye aelewe mi ni mwanamke nina matumizi yale ya kawaida tu, anipe yeye mwenyewe sio mpk nimuombe jmn!
Kwanza nikipewa bila kuomba nafurahi najua kuna mtu ananifikiria.

Yaani niombe pale ambapo ss sina namna nimekwama kabisa..
Hakika!
Hata mm naweza kuandika msg ya kuomba pesa nikafuta nikaandika nikafuta tena jasho linajitoka! Aisee kuomba ni kipaji! Lkn Ndio hivyo akina Sisi n
 
Halafu wanawake hawajui tu
Yaani ukitaka mwanaume awe anakununulia vitu, anza wewe kumnunulia Kwa hela yako hiyohiyo hata kama ni kidogo.
Utaona atakavyokushangaza.

Njia Moja wapo ya kumfundisha mtu kutoa, ni wewe kuonyesha mfano wa kutoa.

Halafu sasa hela Zenyewe tunazowanunulia zawadi, ndio hizohizo ambazo baadaye mnatupa.

..
Hii inafanya kazi kwa real men
Siyo wale Marioo
Kwahiyo sio kwamba unatoa sababu inatoka moyoni, unatoa ili yeye aje akupe zaidi Sasa hayo ni mapenzi au biashara 🤔 Saint Anne
 
Back
Top Bottom