Mwanamke akipenda inakuwa kero

Mwanamke akipenda inakuwa kero

jifunze kuwa na shukurani japo kidogo tu. huyo kakupenda wewe na si hela zako wala kazi zako. najua akinyamaza akawa bize na mambo yake bila kukutafuta utakuja humu kuomba ushauri. pls ridhika na afanyacho mpnz wako. km humpendi mwambie usimpotezee muda.
 
Wanawake wakipenda inakuwa kero kila mara ni kupiga simu tu hamjui wenzenu tunakuwa busy na kazi, hivi tukishinda tunaongea tutapata wapi pesa ya kuwahudumia tuwacheni tufanye kazi na mpunguze hayo mapenzi yenu wanaume wa sikuhizi miduara, tatizo lenu mkipenda hamna kiasi mnajiajiachia mno hadi mnakua kero kwa wenzenu.
dah! kumbe na ww yamekukuta! nilidhani ni mm peke yangu ninayekereka na tabia hiyo!
 
Kabisa mkuu yani mpaka kero, ukichelewa kupokea simu kesi, ukichelewa kujibu text kesi, usipompigia kabla ya kulala kesi, atapiga simu usiku wa manane ili kuprove kama uko ndani, usipomuaga kama unaenda kula kesi, atakuibukia kwa ofisi gafla, ukiwa nae ndo balaa kila text na call atataka kujua inatoka kwa nani, ukiangalia tu pembeni kesi, ukisalimiana na watoto wa kike badae maswali kibao. yani ni kero tupu
ukitaka kesi basi weka profl pic ya demu mkali kwenye profl yako uone mziki na maswali yake! jaribu tu!!
 
doh! namuonea huruma huyo dada. ungekuwa na wewe unampenda wala usingeona kero akikupigia mara kwa mara. nway, mpe hata mtaji wa maandazi ajikeep busy na yeye. sometimes kukaa bila kazi kunawwza kuwa kunachangia hili.
cyo kwamba hawana kazi za kufanya! no wadada wa disign hiyo wanawaibia muda waajiri wao, au hata kama wamejiajiri wanajiibia muda! just kuchanganywa na mapenzi, full kudata!
 
Wanawake wakipenda inakuwa kero kila mara ni kupiga simu tu hamjui wenzenu tunakuwa busy na kazi, hivi tukishinda tunaongea tutapata wapi pesa ya kuwahudumia tuwacheni tufanye kazi na mpunguze hayo mapenzi yenu wanaume wa sikuhizi miduara, tatizo lenu mkipenda hamna kiasi mnajiajiachia mno hadi mnakua kero kwa wenzenu.

We nawe unaleta ngebe bure!! Mungu akupe nini kupendwa ndio huko! Au unataka kidonda ufukuzie nzi! Usokuwa na shukrani!!
 
mm mwenyewe nikipendwa sana, naanza kuona bora kuwa single, coz huyo mtu anataka kunimonitor hata zaidi ya wazazi wangu, mara, hooh, umeshakula, umekula nn, unafanya nn, kwa nn haujalala, n.k "...
 
Ebana hiyo tabia wanayo sana madem...mimi huwa nawapa makavu lakini wapi...hawakomi....unaweza pigiwa simu alafu hana issue ya kukwambia.
 
Wanawake wakipenda inakuwa kero kila mara ni kupiga simu tu hamjui wenzenu tunakuwa busy na kazi, hivi tukishinda tunaongea tutapata wapi pesa ya kuwahudumia tuwacheni tufanye kazi na mpunguze hayo mapenzi yenu wanaume wa sikuhizi miduara, tatizo lenu mkipenda hamna kiasi mnajiajiachia mno hadi mnakua kero kwa wenzenu.

Mungu aliwaumba wanawake kwa ajili ya kazi hiyo kupenda,na wanaume kutafuta rizki ndio maana wakitupenda hawatanii acha watupende tu mkuu ndivyo walivyoumbwa
 
Ndio tatizo la wanawake yani huwa hawazi kazi wala kingine ni baby baby baby kaa hapa nataka nikuambie afu kunakitu nimekumbuka subiri kwanza yani mpaka kero kidogo tu uko wapi? Mbona kama mko wawili huyo nani?
 
Exactly boy that is good.unamtafuta mtu ukiwa na shida ya kugusanisha vikojoleo vyenu mkimaliza kila mtu busy na kazi izo honey umeamka? Umemuomba mungu? Umekunywa chai? Lunch? Dinner? Izo fujo tu na keroo cha msing ni dyudyu tu.
 
Usijali mbona, na yeye atajifunza kukutafuta tu akiwa na shida ya hela
 
yani hii mada uliyoleta mkuu.....moja haikai, mbili haikai....kupendwa sana noma...kutokupendwa noma....na kuipata golden mean (as per Aristotle) napo ishu.....very controversial
 
Back
Top Bottom