Mwanamke akipenda inakuwa kero

Mwanamke akipenda inakuwa kero

yani umeongea point,hamna kitu inaumiza moyo wangu km nina mmiss mtu nampigia afu he just ignores my calls,..sawa upo busy basi hata badae kujua alokuwa anakupigia alitaka kusemaje,anyway ndo mapenzi hvo

Sasa kuna wengine akiona upokei badae unakuta missed call 20 afu ukimpigia ugomvi...sasa mtu wa namna iyo anakera kwa kweli....nakumbuk 2012 siku moja nlisahau kuchaj simu usiku afu next day kulikua na mgao so sikua hewan the whole day..ile kuja kuwasha simu tu msg kibao mara tuachane mara unijali....etc...ni sheedar!!
 
Halafu utakuta maswali mengi yasiyo na msingi...mtu anataka uchatt naye masaa yote inawezekana kweli?
 
Mnakera bhana umebanana ofsini nje kuna watu wanakusubiri uwape huduma mwingine anapiga simu kila baada ya dk 3 ukipokea hakuna la muhimu kazi kuulizia umekula nini? uko na nani?

andamana basi naona umepanic
 
kumbe ndio maana ma house boy wanawaliwaza sana wake zenu...wewe mtu gani huna jema...ukipigiwa ugomvi..usipopigiwa ndio kabisa...
 
mkipendwa shiida,msipopendwa sheeedeeer..hv mbona hamna jema nyie,anakusumbua cz she cares,ipo siku atasepa


Not to that extent....people need to be alone at times to focus on important issue siyo umbea tu kila dakika 5. Mwanamme kabla ya kuhamua kuoa anafikiria, je, huyu mwanamke atanifaa kweli au ni mchepuko tu wa wengine huko mitaani. Pia kuna masuala nyeti zaidi si kila apitae njiani ukimuona unataka kumpigia simu jamaa yako, for what? This is NOT love, rather, nuisance.
 
Aise guyz bhana mkipendwa na sheeeda na msipopendwa ni sheeeeda tufanyeje wenzenu.... tupe mbinu mbadala ili tusiwe tumawamic na kuwasumbua.....!!!
 
Nonesense!mpendejwe nyie midume ukichuniwa cpendwi ukipigiwa kero..aarrrgg!
 
Wanawake wakipenda inakuwa kero kila mara ni kupiga simu tu hamjui wenzenu tunakuwa busy na kazi, hivi tukishinda tunaongea tutapata wapi pesa ya kuwahudumia tuwacheni tufanye kazi na mpunguze hayo mapenzi yenu wanaume wa sikuhizi miduara, tatizo lenu mkipenda hamna kiasi mnajiajiachia mno hadi mnakua kero kwa wenzenu.
Mwongozo unahitajika inabidi wastani wa simu ngapi kwa siku? Wiki?
 
Mwanamke ukiona unapotezewa, soma alama za nyakati, wewe ndo uwe busy zaidi yake huyo me. Dawa ya moto ni moto
 
Back
Top Bottom