Mwanamke akipenda inakuwa kero

Mwanamke akipenda inakuwa kero

Hahahahaaaaaaa duniani kunavituko vingi kweli,

wakati wengine wanalalamika kuwa wanahisi hawapendwi kwa dhati, wengine wanaomba wapunguziwe kiasi cha kupendwa,

hongera kwa kupendwa kupita kiasi mkuu

asante mkuu
 
lkumbukwe kuwa mwanamke anapenda kwa hisia na mwanaume anapenda kwa kutumia akili sana. Kero ya mawasiliano yanategemea utashi kwani ukijua mpenzi wako yupo job inabidi usubiri akutafute yeye kama wewe hauko busy. na ukipiga simu ukiona kimya unatulia anakutafuta siyo kurudia kila saa. sisi tumezoea kuambiana sasa nipo busy baadae tutaongea au tutachat.
 
Maskiniii, alokupenda kakosea njia....We watakiwa kupendwa na walee wakubip...Ukiwa na hela mapenzi moto moto...Usipokuwa nayo yanahamia kwa mwingine...

Michepuko aaahhh iwapigie wkt wowote ruksa...

Wanawake wakipenda inakuwa kero kila mara ni kupiga simu tu hamjui wenzenu tunakuwa busy na kazi, hivi tukishinda tunaongea tutapata wapi pesa ya kuwahudumia tuwacheni tufanye kazi na mpunguze hayo mapenzi yenu wanaume wa sikuhizi miduara, tatizo lenu mkipenda hamna kiasi mnajiajiachia mno hadi mnakua kero kwa wenzenu.
 
Ila michepuko...ruksa wkt wa kazi

lkumbukwe kuwa mwanamke anapenda kwa hisia na mwanaume anapenda kwa kutumia akili sana. Kero ya mawasiliano yanategemea utashi kwani ukijua mpenzi wako yupo job inabidi usubiri akutafute yeye kama wewe hauko busy. na ukipiga simu ukiona kimya unatulia anakutafuta siyo kurudia kila saa. sisi tumezoea kuambiana sasa nipo busy baadae tutaongea au tutachat.
 
Mhhhhh!! Mwanamke akipenda inakuwa kero!?
A%20S-confused1.gif
A%20S-confused1.gif
A%20S-confused1.gif
Uteja una wenyewe!!! Wengine wanajionea kero ati!!!
@

CC: Fixed Point

ha haaaa, you are right rafiki.......
sijui inakuwaje watu wanaona kero..... labda wanapendwa na wasiowapenda..... that is the only explanation I can provide
 
...Ni kweli kabisa Fixed Point..na wengine hufukuzia kwa juhudi kubwa sana mara tu wanapovuliwa pichu basi penzi lote limeshaingia dosari, yule mrembo ambaye njemba alikuwa akimpigia simu mara 70 kwa siku na text messages mara 95 kwa siku na kila wakati kutaka kujua anaendeleaje kama amekula, afya yake iko njema na kuzuka naye sehemu za kujirusha kwa sana. Mapenzi kama ujuavyo rafiki yana wenyewe wasioyaweza hawakawii kujionea kero...hit and run style.

ha haaaa, you are right rafiki.......
sijui inakuwaje watu wanaona kero..... labda wanapendwa na wasiowapenda..... that is the only explanation I can provide
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom