Wanawake wakipenda inakuwa kero kila mara ni kupiga simu tu hamjui wenzenu tunakuwa busy na kazi, hivi tukishinda tunaongea tutapata wapi pesa ya kuwahudumia tuwacheni tufanye kazi na mpunguze hayo mapenzi yenu wanaume wa sikuhizi miduara, tatizo lenu mkipenda hamna kiasi mnajiajiachia mno hadi mnakua kero kwa wenzenu.