Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Jamani ukipendwa we shukuru tu. Wengine hapa kila siku mnalalamika ooh nikimtumia hela hasemi kama kaipata wala kusema ahsante, unatuma vocha afu kupigiwa wanapigiwa wenzako. Ukimpata anayekupigia kwa vocha zake unalalamika, sasa mnataka nini jamani?