KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,886
- 40,068
ubinaadamu kazi...nimeamini...
Ila wanaume hamna jema jamani!!!!
Wanawake wakipenda inakuwa kero kila mara ni kupiga simu tu hamjui wenzenu tunakuwa busy na kazi, hivi tukishinda tunaongea tutapata wapi pesa ya kuwahudumia tuwacheni tufanye kazi na mpunguze hayo mapenzi yenu wanaume wa sikuhizi miduara, tatizo lenu mkipenda hamna kiasi mnajiajiachia mno hadi mnakua kero kwa wenzenu.
Nipe namba zake niwe na chat nae wakati wewe upo busy...
Hahaha, dunia hii!
sasa hapo yuko busy, kutwa hana habari na mwenziwe na akitoka kwenye ubusy anaenda kunywa bia na washkaji. Akirudi akute mwenziwe anachat na matabasamu kibao anaanza wivu!
raha ya mjini, usiloliweza utasaidiwa na wasamaria wema. Period!
baby unataka nikuzalie watoto wangapi?
nipende mimi..Walah!!!...tena hata ukinipigia Mara 10000...poa tu
baby ushakunywa chai?????
baby unataka nikuzalie watoto wangapi?
Aiseee....sasa ukiwa na kazi unashindwa nini kumwambia kwamba kwa muda huu nipo bize?
baby unataka nikuzalie watoto wangapi?
Ila wanaume hamna jema jamani!!!!