Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 10,000
- 16,203
Hata mm daktari, alafu mbona kupigiwa demu kawaida tu.
Nimeukumbuka wimbo wa mme wa mama ntilie kwenye kitabu cha mamq ntilie.
"Kukesha kesheni nae,
Kula kuleni nae,
Hata pombe kunyweni nae,
Lakini mwenzenu nimezaa nae."
Unajua ni kwann mme wa mama ntilie alikua akiimba hivo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeukumbuka wimbo wa mme wa mama ntilie kwenye kitabu cha mamq ntilie.
"Kukesha kesheni nae,
Kula kuleni nae,
Hata pombe kunyweni nae,
Lakini mwenzenu nimezaa nae."
Unajua ni kwann mme wa mama ntilie alikua akiimba hivo?
We naye boya kweli, mbona hujazuiliwa kuoa ila umeoewa tahadhari. Alfu we naona unahamu ya kuwa nao hawa wanawake wanaoendesha mindinga ila hujajiuliza huo utajiri wameupata wapi.? Jichanganye uingiziwe wanaume hadi chumbani alfu udanganywe ni daktari kaja kunifanyia uchunguzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app