Hhvi Zanzibar ni nchi?
Historia inasema nini kuhusu zanzibar kabla ya muungano huu?
Hhvi Zanzibar ni nchi?
Jee, unaweza kuchangia kujibu maswali yaliyopo? au uko hapa kuhororoja.
Ndugu, Nani amekwambia mimi ni msemaji wa CCM. Mbona unaniwekea maneno mdomoni.Kwahiyo ya MACCM unayasemea, ila ya Serekali ya MACCM. hutaki kuyasemea,
Umeulizwa vipi kuhusu kuwa Mwaan CCM , amaabye MMoja wa waanchama wake wakubwa na wakongwe wantoa kauli kama ile?
Ndugu, Wewe pia unaniuliza kama nani?.Sasa wewe umemjibu kama nani sasa? Unaposema ofice za ccm haziko jf sasa mbona Nepi habanduki humu?
Ndugu, majibu yangu yako #135CC: Mwanachama wa Kawaida wa CCM AKA MwanaDiwani
Sijuhi labda unafikiri ni SIRI alichokisema wakati kilakitu kipo LIVE, Msikilize na kumuangalia hapa.
[video=youtube_share;jax6pSz9FVU]http://youtu.be/jax6pSz9FVU[/video]
MwanaDiwani na Nape Nnauye,
Nawaomba hapa mtowe majibu kwa haya maswali myepesi kwa majibu muafaka, ambayo kila msomaji humu ataridhika nayo, na kama ana la ziada ataongezea.
1) Jee, alivyohubiri William Lukuvi kanisani kuwa hofu yake ni kuwa Zanzibar "wakiwachwa watawale watasumbua". Nyinyi kama wana CCM wenzangu naomba mje hapa mtueleze kinaga-ubaga, hayo ni maneno ya Lukuvi? au ya CCM? au ya Serikali?
Sitaki kumalizia kasema watasumbua vipi, labda nyinyi na wachangiaji wengine mmalizie.
Mkimaliza hili namba 1) kuna mengine yaja.
Msikilize Lukuvi kuanzia dakika ya 6 sekunde 30
[video=youtube_share;obOYhW6LJUI]http://youtu.be/obOYhW6LJUI[/video]
Ndugu, hili swali lako ungeliekeza kwenye serikali ambako kuna msemaji wa Wizara ya Katiba na SheriaSorry!huyo lukuvi ni waziri wa muungano au wa tanganyika,mbona hafiki zanzibar kuhubiri hoja zake?
Kati ya wadanganyika na wazanzibar nani hawajitambui?
Hapana hata mimi nakataa, wewe si mwanaChama wa kawaida. Yaani hata kwa hili tu huoni haya kudanganya, duh!Hata katika majibu yangu ya mwanzo nimekuuliza na nikakueleza kuwa mimi ni mwanaCCM wa kawaida.
Haya ni maajabu, hii imeanza tokea lini? Mbona kwa CUF, Chadema na NCCR inakuwa wepesi kwa serikali kutoa tamko au CCM ni zaidi ya Chama? Oh yes, nilikuwa nasahau; maybe CCM is above the Law!Mambo ya serikali haijabiwi na chama, vile vile mambo ya chama hayajibiwi na serikali.
Lukuvi kama kiongozi wa serikali amehatarisha amani kwa kutamka maneno ya uchochezi na wapenda amani wote wamelaani kitendo hicho cha kishenzi isipokuwa CCM na serikali yake. Je walibariki uchochezi huo?Majibu ya chama yanapatikana kwenye vikao, na kama kuna umuhimu wa wananchi kufahamishwa, basi kuna channel zake . serikali nayo ina taratibu zake katika maamuzi.
Lukuvi alitamka maneno hayo Kanisani kama mwakilishi wa serikali na kiongozi wa chama; hakuishia hapo, alirudia uchochezi wake ndani ya Bunge La Katiba kama (1) Mwanachama wa CCM (2) Mbunge na (3) Waziri. Je kunatakiwa sifa ipi zaidi hadi mtu aitwe Kiongozi? Mfano ni wewe MwanaDiwani!Waziri Lukuvi hakuwa pale kama kiongozi wa CCM bali alikuwa pale kama Mtendaji wa Serikali.
Hapa swali umeulizwa wewe kama mtendaji wa chama na serikali, kama huna ujasiri wa kutoa jibu sema na kama huna jibu linalotosheleza, kiri hivyo. Wacha longolongo. Kama unaweza kudai kuwa kazi ya chama ni kuisimamia serikali, kwa nini Chama halijatoa tamko hadi FaizaFoxy aulize? Wanasubiri kikao gani?Huhitaji kuelezwa kuwa mkuu wa utendaji wa serikali ni nani na kwa maana hiyo, nimekupa njia mbadala za kuwasilisha maswali yako.
ndiyo ni wa muungano, na hata kama asingekuwa wa muungano tungesikia mwangwi ule ule kwa hakuna mipaka ya wazi kiutendaji na kijiografia kati ya Tanzania na Tanganyika. Alicho kisema Lukuvi ni imani ya mitume ni sehemu ya ibaada yake ktk dini ya ccm! ambayo na wabunge wa ccm zanziba wanakiri pindi wanapo sali wakija "bara" Lukuvi yupo sahihi kwan wana ccm wooote wanaamini hivyo, anaye pinga ni msaliti! Cc faiza foxySorry!huyo lukuvi ni waziri wa muungano au wa tanganyika,mbona hafiki zanzibar kuhubiri hoja zake?
Mimi siyo msemaji wa serikali kwa hiyo siwezi kufahamu kama kauli ya Waziri Lukuvi niya serikali au ya kwake.
Kama nilivyokueleza mapema, Mbunge wako anaweza kukusaidia kuiuliza serikali kama mwaliko na kauli ilikuwa ya Serikali au yake binafsi.
Maoni yangu nikiwa ni mwanachama kuhusiana na swala hili yako kwenye vikao vya chama kwa sababu Jf siyo sehemu ya kutoa maoni au kikao cha chama kwa wanachama hai wa CCM.
CCM tuna misingi katika utendaji na utekelezaji.
Ndugu, usipotoshe wanaJF. Jaribu kutokuishi katika maisha ya kudhani dhani.MwanaDiwani a.k.a Nape Nnauye ni msemaji mkuu na mpiga picha wa jamaa yetu anayetumalizia Tembo kule kwenye mbuga zetu.
Hapa kwenye kauli ya Serikali yetu iliyochoka inayoongozwa na chama kilichochoka cha zamani nae MwanaDiwani amechoka.
Hana la kujibu yeye yuko Lumumba kwa ajili ya NJAA TU, hana lingine wajameni.
Ndugu, hili swali lako ungeliekeza kwenye serikali ambako kuna msemaji wa Wizara ya Katiba na Sheria
Mkuu nilisikitika sana na comment yako ya kwanza '...Faiza anajaribu kummezesha manenno Lukuvu...'Mimi siyo msemaji wa serikali kwa hiyo siwezi kufahamu kama kauli ya Waziri Lukuvi niya serikali au ya kwake.
Kama nilivyokueleza mapema, Mbunge wako anaweza kukusaidia kuiuliza serikali kama mwaliko na kauli ilikuwa ya Serikali au yake binafsi.
Maoni yangu nikiwa ni mwanachama kuhusiana na swala hili yako kwenye vikao vya chama kwa sababu Jf siyo sehemu ya kutoa maoni au kikao cha chama kwa wanachama hai wa CCM.
CCM tuna misingi katika utendaji na utekelezaji.