chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,379
- 5,887
MwanaDiwani na Nape Nnauye,
Nawaomba hapa mtowe majibu kwa haya maswali myepesi kwa majibu muafaka, ambayo kila msomaji humu ataridhika nayo, na kama ana la ziada ataongezea.
1) Jee, alivyohubiri William Lukuvi kanisani kuwa hofu yake ni kuwa Zanzibar "wakiwachwa watawale watasumbua". Nyinyi kama wana CCM wenzangu naomba mje hapa mtueleze kinaga-ubaga, hayo ni maneno ya Lukuvi? au ya CCM? au ya Serikali?
Sitaki kumalizia kasema watasumbua vipi, labda nyinyi na wachangiaji wengine mmalizie.
Mkimaliza hili namba 1) kuna mengine yaja.
Msikilize Lukuvi kuanzia dakika ya 6 sekunde 30
[video=youtube_share;obOYhW6LJUI]http://youtu.be/obOYhW6LJUI[/video]
Ni maneno ya Lukuvi na si ya CCM
Hii video hayo aliyoyasema Lukuvi ni amaneno ya CCM ikumbukwe kuwa Lukuvi aliyasema hayo kwa niaba ya waziri mkuu,ikumbumkwwe vile vile Mkuu wa nchi aliyasema kam hayo katika hotuba ya ke pale bungeni ...
Kidumu cham cha CCM na fikra za mwwenyekiti wake