meidimu sirkon
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 202
- 37
"Ikiwa Kinana anaweza kutembea nchini na kukemea Serikali katika mapungufu yake, ni wakati muafaka na sisi wapenzi wa CCM tukemee mapungufu ya wana CCM wanaokiharibia sifa chama chetu tunachokipenda.
Tuliojaaliwa kupitia vitabu japo "kiduchu" hiyo inaitwa "Checks and Balances
INA MAANA KUWA KINANA AMESHINDWA KUKEMEA SERIKALI KWENYE VIKAO VYA KAWAIDA YA CHAMA KULIKO KUFANYA MAIGIZO KWENYE MIKUTANO YA HADHARA!