MwanaDiwani na Nape Nnauye Nawaomba hapa...

Walitaka kuonyesha kwamba FaizaFoxy ni muongo sasa muongo anajulikana ni nani. Kweli njaa mbaya sana.
 
Last edited by a moderator:
kiongozi mimi ni mpenzi sana wa ccm na ni mwanachama hai wa CCM, ila nakerwa sana na hizi kauli za viongozi wa serikali ambao wao wamekasimiwa madaraka kwasababu ni wanachama wa CCM. muda mwingine wanatutia aibu kwa kauli zao. na unapomtofautisha mtendaji wa serikali ambaye kiukweli unauhakika kwamba amekasimiwa madaraka hayo na serikali kwasababu ni mwanachama wa CCM naona kama vile tunafunika moto kwa gunia na kimsingi moshi lazima utatuumbua.

Acha kuendekeza njaa, Mchagga na CCM wapi na wapi? Kila siku Nape anatukana na kubagua wachagga majukwaani wewe umeng'ang'ania kama luba. Ile sera ya jikombe ukomborewe haipo siku hizi, we jitume tu kwenye kazi, fanya savings, komalia DUKA lako umaskini utaisha tu. Haihitaji kuwalamba miguu hawa majizi ya chama chenu.
 
Mnavutwa taraatibu, mnakuja!

Wapi huko ndugu yaani mimi nishawaambia kabisa ndugu na marafiki zangu siku wakiniona naishabikia ama kujiunga na majanga ccm basi wasipate shida moja kwa moja wanipeleke mirembe hosp nitakuwa nimerukwa na akili.
 
Ungepaswa kufahamu mapema kama mimi ni mwanaCCM wa kawaida. Inawezekana hata hujasoma na kulielewa bandiko langu #72 .

Hata katika majibu yangu ya mwanzo nimekuuliza na nikakueleza kuwa mimi ni mwanaCCM wa kawaida.

Mambo ya serikali haijabiwi na chama, vile vile mambo ya chama hayajibiwi na serikali.

Majibu ya chama yanapatikana kwenye vikao, na kama kuna umuhimu wa wananchi kufahamishwa, basi kuna channel zake . serikali nayo ina taratibu zake katika maamuzi.

Waziri Lukuvi hakuwa pale kama kiongozi wa CCM bali alikuwa pale kama Mtendaji wa Serikali.

Huhitaji kuelezwa kuwa mkuu wa utendaji wa serikali ni nani na kwa maana hiyo, nimekupa njia mbadala za kuwasilisha maswali yako.

Kwa hiyo ile ni kauli ya Serikali au siyo?

Ni "maneno" yepi ambayo ulikuwa unajaribu kuudanganya umma kuwa nimemlisha William Lukuvi, jee, baada ya kukuwekea mkanda umeridhika kuwa sina neno la kumlisha William Lukuvi?

Jibu lako hilo nililokuwekea nyekundu ni tosha kabisa katika swali langu la mwanzo, ingawa umejaribu kulikwepa lakini ujuwe, ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.

Jee, wewe kama "mwanachama wa kawaida wa ccm" umeridhishwa na kauli za William Lukuvi Kanisani?
 
Ff naona lile limbwata la ccm linaisha nguvu duu ama kweli hakuna mwanzo usiokuwa na mwisho na nikuambie kitu ccm hawana tofauti na panya wanangata na kupuliza ukijashtuka imekula kwako.

Jee, unaweza kuchangia kujibu maswali yaliyopo? au uko hapa kuhororoja.
 
CC: Mwanachama wa Kawaida wa CCM AKA MwanaDiwani

Ni "maneno" yepi ambayo ulikuwa unajaribu kuudanganya umma kuwa nimemlisha William Lukuvi, jee, baada ya kukuwekea mkanda umeridhika kuwa sina neno la kumlisha William Lukuvi?

Jee, wewe kama "mwanachama wa kawaida wa ccm" umeridhishwa na kauli za William Lukuvi Kanisani?[
 
Last edited by a moderator:
Porojo nyiiiingi na kuhororoja sana. Jibu swali, kama huna jibu sema sina jibu. Wacha kuhororoja hovyo, uunajishushia hadhi yako kuhororoja sana bila mpango. Unakuwa kama mwana CCM wa kawaida usie na msimamo thabit.

Jikumbushe uelewe kuwa sina haja ya kumlisha maneno Lukuvi:

[video=youtube_share;jax6pSz9FVU]http://youtu.be/jax6pSz9FVU[/video]

Aighhhhhhhhh...:....... Feiza huyo jamani, majibu gani hayo kwa kiongozi wako ndugu jiangalie sana wangu au unataka kuasi chamani dada angalia pale MABWEPANDE msitu umesheheni kwelikweli na kwakumbukumbu zangu tangu mwaka huu uingie bado haujatumika jichunguze vizuri nyendo zako wangu hao sio watu wa kupingana na kubishana nao ni hayo tu

BACK TANGANYIKA
 
FaizaFoxy ungekuwa CHADEMA ungeshaitwa msaliti. Na hawa vijana wa Mbowe wangekutukana matusi yote duniani. Ila CCM uhuru wa maoni hatuupuuzi.

Na wewe chooni(MSALANI) si ujibu kwanza halafu ndo uimbe hizo dumbaki zako?
 
Last edited by a moderator:
subilini tu na ukaidi wenu mwakani ndio mtawajuwa vizuri waislamu, maana wakristo mmeshawapa chamao kwamba wao ni chadema kama hiyo haitoshi mmeamuwa sasa kuwatukana waislamu, hukumu yenu yaja labda muombe kura za wachawi sasa.

Acha uchochezi wa kidini wewe
 
Ndugu, unaniuliza swali mimi kama nani?.

Mimi ni mwanaCCM wa kawaida kama wanaCCM wengine lakini vile vile nikisoma andiko lako ninafikia tamati kuwa, unajaribu kumlisha Waziri Lukuvi maneno kwa mapenzi yako ambayo yamejificha katika madhumuni yako.

Wewe ukiwa kama mwanachama hai wa CCM, lazima utakuwa unaelewa kuwa CCM haina ofisi Jamiiforums na kwa maana hiyo, CCM huwa inayendeshwa katika misingi ya taratibu, kanuni, maadili na miiko ya wanachama na viongozi kupitia vikao.

Wewe ukiwa mwanachama hai wa CCM lazima utaelewa kuwa kuna vikao vya chama ambavyo ndiyo nguzo kuu ya chama katika uendeshaji kuanzia nyumba mpaka Taifa.

Wewe ukiwa kama mwanachama hai wa CCM lazima utaelewa kuwa chama na serikali ni vitu viwili tofauti na kwa maana hiyo CCM haiendeshwi kwa kauli za viongozi wa chama bali inaendeshwa kwa kauli za vikao vya chama. Swali lako lingejibiwa na vikao vya chama na siyo kiongozi wa chama.

Utendaji wa serikali hauingiliwi na chama bali unasimamiwa na chama na kwa maana hiyo watendaji wa serikali wanaweza wasiwe wanaCCM na wanaCCM wanaweza wasiwe watendaji wa serikali. Kauli ya mtendaji wa serikali haijibiwi na vikao vya chama bali inajibiwa na mamlaka ndani ya serikali.

Huhitaji kufahamu civics ili utambue kuwa hili swali lako ungelielekeza kwenye ofisi kuu ya utendaji serikalini ambayo ni ofisi ya Waziri Mkuu au ofisi kuu ya serikali ambayo ni ofisi ya Rais. Kama huwezi kufika huko, unaweza kwenda kwenye ofisi ya Mbunge wako ili akufikishie swali lako kwa Waziri Mkuu ambaye atalifikisha kwa Rais wa nchi.

Sasa wewe umemjibu kama nani sasa? Unaposema ofice za ccm haziko jf sasa mbona Nepi habanduki humu?
 
Nimekusoma uzuri Mkuu MwanaDiwani, tunawapa hoja za msingi, badala ya kujadili hoja mezani, wao wanajadili ID, na Avator. Tutaenda nao taratibu, naamini wataelewa tu!
Tangu lini ukaja na hoja nzito wewe?

Toka uwekwe kati na huyo mpare demu wake na Abood umevunjwa mabawa.

Ujanja huna.
 
Last edited by a moderator:
Imani za nini? Kama ni za kidini ipelekwe jukwaa husika, Hapa ni siasa tu!

Mkuu sasa hapa wakosea sana kwa maneno yako nawe yaonekana kama ya yule Mkoswa na adabu Lukuvi.

Mpuuzi kafanza wake upuuzi kisha wataka tuletea yale maneno ya uchunguzi unaendelea/visibility study mara haya na yale ....!?

Jitafakari sana katika changizi zako hasa hii ya sasa, otherwise titafahamiana tu ila nakusihi usilete SIASA katika IMANI za watu.

Ahsanta na nnaendelea ....
 
Kwa hiyo ile ni kauli ya Serikali au siyo?

Ni "maneno" yepi ambayo ulikuwa unajaribu kuudanganya umma kuwa nimemlisha William Lukuvi, jee, baada ya kukuwekea mkanda umeridhika kuwa sina neno la kumlisha William Lukuvi?

Jibu lako hilo nililokuwekea nyekundu ni tosha kabisa katika swali langu la mwanzo, ingawa umejaribu kulikwepa lakini ujuwe, ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.

Jee, wewe kama "mwanachama wa kawaida wa ccm" umeridhishwa na kauli za William Lukuvi Kanisani?

Mimi siyo msemaji wa serikali kwa hiyo siwezi kufahamu kama kauli ya Waziri Lukuvi niya serikali au ya kwake.

Kama nilivyokueleza mapema, Mbunge wako anaweza kukusaidia kuiuliza serikali kama mwaliko na kauli ilikuwa ya Serikali au yake binafsi.

Maoni yangu nikiwa ni mwanachama kuhusiana na swala hili yako kwenye vikao vya chama kwa sababu Jf siyo sehemu ya kutoa maoni au kikao cha chama kwa wanachama hai wa CCM.

CCM tuna misingi katika utendaji na utekelezaji.
 
Ahsante, hilo mbona umesha nijibu, au umesahau? Jikumbushe.

quote_icon.png
By MwanaDiwani
Ungepaswa kufahamu mapema kama mimi ni mwanaCCM wa kawaida. Inawezekana hata hujasoma na kulielewa bandiko langu #72 .

Hata katika majibu yangu ya mwanzo nimekuuliza na nikakueleza kuwa mimi ni mwanaCCM wa kawaida.

Mambo ya serikali haijabiwi na chama, vile vile mambo ya chama hayajibiwi na serikali.

Majibu ya chama yanapatikana kwenye vikao, na kama kuna umuhimu wa wananchi kufahamishwa, basi kuna channel zake . serikali nayo ina taratibu zake katika maamuzi.

Waziri Lukuvi hakuwa pale kama kiongozi wa CCM bali alikuwa pale kama Mtendaji wa Serikali.

Huhitaji kuelezwa kuwa mkuu wa utendaji wa serikali ni nani na kwa maana hiyo, nimekupa njia mbadala za kuwasilisha maswali yako.
 
Ndugu, unaniuliza swali mimi kama nani?.

Mimi ni mwanaCCM wa kawaida kama wanaCCM wengine lakini vile vile nikisoma andiko lako ninafikia tamati kuwa, unajaribu kumlisha Waziri Lukuvi maneno kwa mapenzi yako ambayo yamejificha katika madhumuni yako.

Wewe ukiwa kama mwanachama hai wa CCM, lazima utakuwa unaelewa kuwa CCM haina ofisi Jamiiforums na kwa maana hiyo, CCM huwa inayendeshwa katika misingi ya taratibu, kanuni, maadili na miiko ya wanachama na viongozi kupitia vikao.

Wewe ukiwa mwanachama hai wa CCM lazima utaelewa kuwa kuna vikao vya chama ambavyo ndiyo nguzo kuu ya chama katika uendeshaji kuanzia nyumba mpaka Taifa.

Wewe ukiwa kama mwanachama hai wa CCM lazima utaelewa kuwa chama na serikali ni vitu viwili tofauti na kwa maana hiyo CCM haiendeshwi kwa kauli za viongozi wa chama bali inaendeshwa kwa kauli za vikao vya chama. Swali lako lingejibiwa na vikao vya chama na siyo kiongozi wa chama.

Utendaji wa serikali hauingiliwi na chama bali unasimamiwa na chama na kwa maana hiyo watendaji wa serikali wanaweza wasiwe wanaCCM na wanaCCM wanaweza wasiwe watendaji wa serikali. Kauli ya mtendaji wa serikali haijibiwi na vikao vya chama bali inajibiwa na mamlaka ndani ya serikali.

Huhitaji kufahamu civics ili utambue kuwa hili swali lako ungelielekeza kwenye ofisi kuu ya utendaji serikalini ambayo ni ofisi ya Waziri Mkuu au ofisi kuu ya serikali ambayo ni ofisi ya Rais. Kama huwezi kufika huko, unaweza kwenda kwenye ofisi ya Mbunge wako ili akufikishie swali lako kwa Waziri Mkuu ambaye atalifikisha kwa Rais wa nchi.

faifox njoo huku mwanadiwani na hekaya za lumumba frm chimbo wamegawana point na nanii ila atajibu tandaleone hahaha!
 
Mimi siyo msemaji wa serikali kwa hiyo siwezi kufahamu kama kauli ya Waziri Lukuvi niya serikali au ya kwake.

Kama nilivyokueleza mapema, Mbunge wako anaweza kukusaidia kuiuliza serikali kama mwaliko na kauli ilikuwa ya Serikali au yake binafsi.

Maoni yangu nikiwa ni mwanachama kuhusiana na swala hili yako kwenye vikao vya chama kwa sababu Jf siyo sehemu ya kutoa maoni au kikao cha chama kwa wanachama hai wa CCM.

CCM tuna misingi katika utendaji na utekelezaji.

Kwahiyo ya MACCM unayasemea, ila ya Serekali ya MACCM. hutaki kuyasemea,
Umeulizwa vipi kuhusu kuwa Mwaan CCM , amaabye MMoja wa waanchama wake wakubwa na wakongwe wantoa kauli kama ile?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom