Ni maneno ya Lukuvi na si ya CCM
Kwani ametimuliwa umod? umejuaje?
Kafukuzwa kitambo mkuu.. sasa hivi usimuogope ata ukimchoma kidole kwenye jicho hawezi kukufanya lolote..
MwanaDiwani na Nape Nnauye,
Nawaomba hapa mtowe majibu kwa haya maswali myepesi kwa majibu muafaka, ambayo kila msomaji humu ataridhika nayo, na kama ana la ziada ataongezea.
1) Jee, alivyohubiri Wiilliam Lukuvi kanisani kuwa hofu yake ni kuwa Zanzibar "wakiwachwa watawale watasumbua". Nyinyi kama wana CCM wenzagu naomba mje hapa mtueleze kinaga-ubaga, hayo ni maneno ya Lukuvi? au ya CCM? au ya Serikali?
Sitaki kumalizia kasema watasumbua vipi, labda nyinyi na wachangiaji wengine mmalizie.
Mkimaliza hili namba 1) kuna mengine yaja.
yule mansour aliyefukuzwa uanachama ccm yale yalikuwa ni maoni au matarumbeta?FaizaFoxy ungekuwa CHADEMA ungeshaitwa msaliti. Na hawa vijana wa Mbowe wangekutukana matusi yote duniani. Ila CCM uhuru wa maoni hatuupuuzi.
hata mimi nasema "sio inchi".
Hhvi Zanzibar ni nchi?
Hahahahah, William Lukuvi alichokifanya ni zaidi ya ubaguzi.
Werema, nawaachia Wazanzibari wenyewe, kwani wao ni wanafik, wakiwa Zanzibar wanasema mengine wakija Dodoma wanasema mengine. Astahili yao yawapate kwa Werema. Ingawa si vyema alivyosema na haitoshi, lakini niliona nnawatetea mazumbukuku, sikumuona hata mmoja akirudia hoja hiyo bungeni wala kulalamika kwenye vyombo vya habari. Wazanzibari wanajisaliti wenyewe kwa wenyewe, ni wanafik nambari moja.
MwanaDiwani na Nape Nnauye,
Nawaomba hapa mtowe majibu kwa haya maswali myepesi kwa majibu muafaka, ambayo kila msomaji humu ataridhika nayo, na kama ana la ziada ataongezea.
1) Jee, alivyohubiri Wiilliam Lukuvi kanisani kuwa hofu yake ni kuwa Zanzibar "wakiwachwa watawale watasumbua". Nyinyi kama wana CCM wenzagu naomba mje hapa mtueleze kinaga-ubaga, hayo ni maneno ya Lukuvi? au ya CCM? au ya Serikali?
Sitaki kumalizia kasema watasumbua vipi, labda nyinyi na wachangiaji wengine mmalizie.
Mkimaliza hili namba 1) kuna mengine yaja.
Unajifanya kichwa ngumu tu,utanielewa taratibu!
Wewe maiti inayotembea jibu hoja na si longo longo!