BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Mbona hatujamsikia Kikwete kuyakemea!? Mbona hatujamsikia Kinana kuyakemea? Kwa ukimya wao basi hitimisho ni kwamba maneno ya Lukuvi ni kauli inayoungwa mkono na CCM na Serikali iliyopo madarakani.
Ni maneno ya Lukuvi na si ya CCM