Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,635
- 6,236
Meya wa Jiji la Dar es Salaam Didas Masaburi (kulia) akipewa maelezo ya Vizimba vya biashara na Meneja wa Machinga Complex,Theresia Kundy (kushoto) alipotembelea leo na kutoa agizo kwa Bodi mpya kuvivunja Vizimba hiyo na kugawa upya maeneo kwa wahusika.
http://lukwangule.blogspot.com/2011/08/makofi-ya-masaburi-yaendelea-dar.html