Lahh, nimenawa mikono kabisa.
Ndugu Meya wa Jiji, Didas Masaburi, hili limeshakuwa neno la Kiswahili haswa.
Ila nafikiri tofauti kidogo na neno Makalio, hili linatumika zaidi unaposema mtu anafikiri kwa kutumia Makalio.
Badala ya kusema "Anatumia Makalio" basi sasa watu wanasema "Anatumia Masaburi."
Ila katika mazingira ya kawaida, nafikiri Makalio, Kipengule, Nyungu, Kishtobe, Wowowo, Trailer, (Masoko kwa Kilingala) nk itabaki kuwa na maana hiyohiyo ambayo kwa miaka mingi, wote tunafahamu.
Kweli Kiswahili kimekuwa kwa msamiati/neno moja zaidi.
Hahahaa, Wabunge walitumia Masaburi kuandika Mswaada mbovu wa katiba......... Something like that?