Mwana JF share weakness yako

Mwana JF share weakness yako

Nina huruma mpaka Imepitiliza. Hii imeleta madhara kwangu kwani baadhi ya watu huchukulia kama advantage kwao, wanajua siwezi kuchomoa wanapohitaji msaada wangu.

Lakini pamoja na hayo nimekuwa nikiufurahia huu udhaifu niliokuwa nao, naweza sema ni sehemu ya Furaha yangu. Najisikia amani na furaha kuona mtu mwingine kafanikiwa kupitia Mimi. Sipendi kuona mtu anateseka iwe kwa hali yoyote ile, na hata kwa wanyama pia.
Tuko wengi mkuu,hadi kuna kipindi huwa najitabiria kua kifo changu kitakuja kutokana na wema,Mungu aepushie mbali
 
Tuko wengi mkuu,hadi kuna kipindi huwa najitabiria kua kifo changu kitakuja kutokana na wema,Mungu aepushie mbali
Jitahidi kuwa na mipaka, huwezi kuishi maisha ya kuwapendeza watu daily
 
Weaknesse yangu ni huruma yaani naweza kopa hela kwajili ya mtu anayeitaji msaada wangu yaani mtu akija kuomba msaada kwangu nikawa sina huwa naumia mara mbili yake
 
Weakness yangu;
Am too sensitive na muda,asyee tuki arrange muda ukaleta sababu za ajabu ajabu...next time ujue huna chako.

Sependi frequently excuses reasons..ebhana kuna watu wanasababu,kila kukicha yeye anampya.

Rangi nyekundu: Hicho kilugha tunaking'ang'ania ila basi tu!
 
Jitahidi kuwa na mipaka, huwezi kuishi maisha ya kuwapendeza watu daily
Hilo kaka ndo maana huwa nasoma vitabu vyenye kunifnya niwe selfish kidogo na rude,nakumbuka nilikaaga na jamaa ghetto tulijuana juu juu tu,kaenda sehem hatacjui,kaleta TV ikakaa hapo ghetto,hata ilikuwa haifanyi kazi,umepita mwaka na jamaa alisha sepa,nashangaa cku hyo polisi wanakuja na mdada ana claim kua mm ndo nilikuwa nampa hifadh huyo jamaa,so niko responsible,tulibishana ila badae nikaona usumbufu maana hata masomo na kazi vikawa vinashindwa kwenda poa,nikalipa laki saba,ila nashukuru wife wangu kauzu balaa,hatakag hizo habari
 
Vifua vya mabint vilivyo jaa jaa flani na vilivyo nona mimi napoteza network kabisa.
 
Bwana yesu asifiwe wapendwa

Kama tunavyojua kwamba kila binadamu anaeishi chini ya jua ana mapungufu(No one is perfect under the sun).Mapungufu yetu au weakness zetu zinatusababishia hasara nyingi kuliko faida

Kwa upande wangu weakness inayonitesa zaidi ni Haya.Imenikosesha marafiki na fursa mbalimbali za maendeleo
Mwana JF share weakness yako na madhara yake
Weaknesse yangu ni usingizi wa usiku nikishalala yaani ukigonga mlango nikakusikia mshukulu Mungu
 
Bwana yesu asifiwe wapendwa

Kama tunavyojua kwamba kila binadamu anaeishi chini ya jua ana mapungufu(No one is perfect under the sun).Mapungufu yetu au weakness zetu zinatusababishia hasara nyingi kuliko faida

Kwa upande wangu weakness inayonitesa zaidi ni Haya.Imenikosesha marafiki na fursa mbalimbali za maendeleo
Mwana JF share weakness yako na madhara yake

UKITAKA KUNIVURUGIA MOOD,
LETE UPUUZI WA KUOMBAOMBA HELA.

KIPENGELE HICHO MIMI SIO MTU WA MCHEZO MCHEZO,
NA HUWA SIJARIBIWI.

Back
Top Bottom