Mwana JF share weakness yako

Mwana JF share weakness yako

Mhmmm asee pesa ya kila siku sijui ikoje raha sana sema sijawai kuifanyia maendeleo make uhakika upo wa kupata nyingine kesho,mshahara ndo sichezeagi.

Mshahara mimi pia huwa siugusi kabisa. But hii pesa ya kila siku nashindwa kuifanyia mambo ya maana zaidi ya kustareheka tu.
 
hahaha uko kama mie lol huwa ukinikwaza lazma nikwambie na huwa nasahau hapohapo ila pia nina kinyono nukikunyamazia ujue sitakuwa na amani na wewe ...... naweza kukuua walahi ila nashukuru ninavyozidi kukua ndo hali hizi zinapungua

zamani kidogo nilikuwa nikichukia lazma nitapike niliee ama nijikate damu itoke otherwise niitaumwa hata wiki nzima
Angalia usije ukajiangamiza sasa
 
I hate sex, I love romance kitu ambacho ni ngumu sana kukipata bila kuishia kwenye sex labda mpaka siku nikibahatika kumpata mwenye upungufu wa nguvu za kiume awe anapiga angalau mara moja au mbili kwa mwezi
Kigezo cha upunguf WA nguvu ndo kimenkosesha bahati hiv hivi,ila ucjali,tajtahd Kula chips nyng SI ndio mnasemaga znapunguza nguvu za kiume.
 
Kwenye Avatar anaitwa John Cena kwenye pambano la miereka anakuwa mpole tu akikutana na vichwa vibishi kama Undertaker, Sheamus, Brock lesnar etc
Japo kuwa kwa John cena ushindi daima, anapendwa na mashabiki wengi, nguvu nyingi anakubeba tu hata mzito km mark henry..u can't see me
Tehetehete we mdau
 
I hate sex, I love romance kitu ambacho ni ngumu sana kukipata bila kuishia kwenye sex labda mpaka siku nikibahatika kumpata mwenye upungufu wa nguvu za kiume awe anapiga angalau mara moja au mbili kwa mwezi
Duh
 
cwezi kukaa nakitu moyon mpaka nikiseme hasa kama nikimsikia mtu ananiteta nilazima nimwambie hapohapo, hata nikipewa taarifa mbaya kuhusu mpenz wangu nilazima nimwambie nahii imesababisha kuacha kupewa umbeaumbea, mpenz wangu anaponijibisha huwa hacra inanipanda najikuta nimemvamia nakumpiga hali hii nimejitahid kuizuia ila imeshindikana nakwabahat mbaya huyu mpenz wangu haelew ishamwambia acwe ananijibisha nitakuja kumuumiza ila haelew kwakifupi nijeur sana, sipendi kusalimiana nawatu ovyo nahii imesababisha watu kunisema nalinga. Mwepes wakumuamin mtu nakumkabidhi vitu vyangu kama pesa namwisho wacku nalia.
 
mimi kuvunja mahusiano ya kimapenzi huwa kuna tatizo kubwa kwakweli japo nafanyiwaga madudu sometimes
 
I hate sex, I love romance kitu ambacho ni ngumu sana kukipata bila kuishia kwenye sex labda mpaka siku nikibahatika kumpata mwenye upungufu wa nguvu za kiume awe anapiga angalau mara moja au mbili kwa mwezi
Dah me nguvu zakiume ninazo ila napenda sana sana romance kuliko sex so tuwe pear
 
Back
Top Bottom