Mwana JF share weakness yako

Mwana JF share weakness yako

Nashindwa kutunza pesa kila nikiipata ingawa huwa ninaipangia mipango mahususi nitafanya hiki na kile pindi nipatapo hela inaanza kuniendesha kwa kuwanunulia marafiki bia,nyama choma hata kununua ngono kwa Madada poa hela ikiisha naanza kujilaumu kwanini sijatimiza inanikera sana hii tabia lakini nashindwa kujitoa kabisa nipatapo hela yoyote so sad.
 
Kupenda sana ambako kunanitesa mpaka nakua mtumwa wa mapenzi, jeuri hasa wa kwa wanaume wanaodhani hela inamfanya mwanamke akunyenyekee, kusema ya moyoni hasa kama mtu amenikwaza sinaga kumkawiza namwambia hapo hapo umenifanyia hivi sijapenda ukinuna shauri ako.
hahaha uko kama mie lol huwa ukinikwaza lazma nikwambie na huwa nasahau hapohapo ila pia nina kinyono nukikunyamazia ujue sitakuwa na amani na wewe ...... naweza kukuua walahi ila nashukuru ninavyozidi kukua ndo hali hizi zinapungua

zamani kidogo nilikuwa nikichukia lazma nitapike niliee ama nijikate damu itoke otherwise niitaumwa hata wiki nzima
 
Nashindwa kutunza pesa kila nikiipata ingawa huwa ninaipangia mipango mahususi nitafanya hiki na kile pindi nipatapo hela inaanza kuniendesha kwa kuwanunulia marafiki bia,nyama choma hata kununua ngono kwa Madada poa hela ikiisha naanza kujilaumu kwanini sijatimiza inanikera sana hii tabia lakini nashindwa kujitoa kabisa nipatapo hela yoyote so sad.
Pesa haina tabia nzuri. Hiki kitu na mimi kinanilostisha
 
Aisee mm weakness yangu ni selection za TCU na Nacte yani nikiona kaneno TCU napata mzuka wa ajabu nazama fasta kwenye account yangu yani daah inanitesa
Ndo ilivyo. Ukiingia chuo hautakuwa na wasiwasi na NACTE WALA TCU.
 
Nashindwa kutunza pesa kila nikiipata ingawa huwa ninaipangia mipango mahususi nitafanya hiki na kile pindi nipatapo hela inaanza kuniendesha kwa kuwanunulia marafiki bia,nyama choma hata kununua ngono kwa Madada poa hela ikiisha naanza kujilaumu kwanini sijatimiza inanikera sana hii tabia lakini nashindwa kujitoa kabisa nipatapo hela yoyote so sad.
Muone mshana.
Isije kuwa unatumia na majini.
 
Mi siwezi bila wewe pembeni yangu
Nipo kwa ajili yako luv.
1475731743294.jpg
 
Linapokuja Suala La Ghafla Uwa NaPanic Na Kunyama Kimya Nikisikilizia Maumivu Mwenyew...
 
Back
Top Bottom