Mwana JF share weakness yako

Aisee mi churaaa tu yaani hata ukiwa mbaya kama bi kidude Ila una chura nimakuhonga verosa
 
My great weaknes yaan siwez mwambia mtu direct kama ameniudh.... aisee hii inanitesa sana cos nabak naumia mwenyew pretending that everythng is fine
 
Huyo daktar kiboko! Hana tofauti na witch doctor.
 
sipendi kupigia watu simu na sipendi kupigiwa simu! sijui kwa nini ndugu , marafiki na wafanyakazi wenzangu kila siku wananisema kwa tabia yangu!
Tupo wengi kumbe, jioni hii kuna mtu nilimtumia zawadi nzuuuri, najua amenipigia simu kunishukuru ila sikuwa najisikia kupokea simu yake nimeipotezea
 
Dah... Binti akiwa smart upstairs.. halafu asiwe na chura mzee...awe na tatoo kiunoni au shingoni...nalipa billion
 
My great weaknes yaan siwez mwambia mtu direct kama ameniudh.... aisee hii inanitesa sana cos nabak naumia mwenyew pretending that everythng is fine
Hata mm aisee.nachomshukuru mungu mm ni short tempted
 
Udhaifu wangu mengine natongozwa sana Na wanaume mwenzangu

Jamaniii!Na huu upole........mniache jamani aaagh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…