Mwana-Chitchat - Unaishi wapi? mtaa gani?

halafu platozoom wewe sio huyu mchoma chipsi wa hapa jirani na kwangu? na charminglady wewe sio yule dada huwa nanunua matunda kwake hapa Nyakato NHC, na BAGAH wewe sio yule muuza kande wa pale mitaa ya Nera?
hivi ni kweli 99% ya wanachitchat mnaishi Mwanza isipokuwa Bishanga tu anayeishi kamachumu? nitonye uliondoka mwaka gani pale kijijini kwetu rushwa? Kongosho umehama pale mhandu? Erickb52 utahama lini Nyegezi? Baba V isamilo kwema? Asprin anza kuhama mabatini TMA wametangaza mafuriko!! Kaizer siku hizi ile hiace ya Igoma buhongwa huendeshi tena? Judgement habari za kirumba mkuu? [MENTION=80055]Madame B[/MENTION] hivi umeshamaliza kale ka-bachela kako pale SAUT? KARIA CBE hamjambo? Kimbweka ile benz nimeiona imepaki Nyamagana mbona inafanana na ya kwako? Wakati ndo sasa vumilia tu nawe siku moja utajenga nyamhongolo, Mamndenyi poleni kwa usafiri wa kubahatisha wa huko Luchelele! Zinduna pale kwa kifua wazi umehama? na wengine mnikumbushe mitaa yenu

Smiling Saint jamani,
mbona pale nilishamaliza!!
Mpaka nikaajiriwa palepale?
Sa hv ni Lecturer hapohapo.
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji pale igoma bado upo? halafu kuna jirani yako mitaa ya kishiri anaitwa afrodenzi mmewahi kuonana naye? mitaa ya buswelu alikuwepo msukuma mmoja anaitwa Nyaningabu ukipita huko msalimie sana, pale kati liberty kuna mchaga wanamuita @ze mangi ana duka la vyombo pale, halafu kule bugando kuna mswahili kahamia pale wanamuita MziziMkavu, hivi yule Ronn M alikuwa anaishi kule milimani bugarika yupo? na yule binti alikuwa anaishi pale igogo wasukuma wakampenda wakamuita sweetlady yupo? usikasahau kale ka dada kalitaka kupata u@firstlady wa mtaa wa mkuyuni sijui nako kao jf siku hizi? ndugu yangu salamu nyingi sana ... ngoja niendelee kukumbuka mitaa yao halfu nitakupa adress usihofu kuhusu huyo platozoom saa 4 asubuhi huwa anakula mikate pale pizaria...

yaani waan jf kumbe mmejaa hapahapa mjini?!!
Mkuu.@Smiling Saint mkuu mimi nipo Bagamoyo karibu unakaribishwa.
 
Futa usemi yfu kabla jua halijachwa. wale wote wa zamani achana nao. Let bygone be bygone. tell them this 'I am commited to Arushaone'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom